Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shahidi kesi wizi wa simu JNIA afunguka

>Shahidi wa tatu katika kesi ya wizi wa simu zenye thamani ya Sh19 milioni, Koplo Frain amedai waliweka mtego uliofanikisha kuwakamatwa washtakiwa sita wakiwa na simu baada ya kuuziana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi apeleka simu 102 mahakamani

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepokea simu 102 kutoka kwa shahidi wa nne katika kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, kama kielelezo cha mashitaka kwa washitakiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi wa tatu kesi ya Ponda atoa ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa jumuiya na taasisi za kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na upande wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi kesi ya rushwa ya Hakimu afariki dunia

UPANDE wa mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wameithibitishia Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba aliyetakiwa kuwa shahidi wa pili katika kesi ya rushwa ya Sh 50,000 inayomkabili Hakimu Grace Kivegele na Karani wake, Rose Kuhima wa Mahakama ya Mwanzo Buruguri, amefariki dunia.

 

9 years ago

Mwananchi

KESI YA MSUYA: Shahidi asema mwili ulikuwa na majeraha 26 ya risasi

Mwili wa mfanyabiashara tajiri wa Mererani aliyeuawa kwa kupigwa risasi, Erasto Msuya, ulikuwa na majeraha 26 ya risasi yaliyosababisha mfumo wa damu na upumuaji kusimama.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda

>Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, imeanza kusikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro na shahidi wa kwanza katika kesi hiyo ni aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Morogoro, Sadick Tindwa, ambaye kwa sasa amehamishiwa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kutoa ushahidi wake kwa zaidi ya saa mbili.

 

9 years ago

Habarileo

Mwarobaini wizi wa simu wapatikana

WEZI wa simu nchini watakuwa na wakati mgumu baada ya programu maalumu kubuniwa. Programu hiyo inaweza kulinda taarifa zote za simu ya mteja pamoja na simu yenyewe pindi ikiibwa, ambapo mwizi ataweza hadi kupigwa picha bila mwenyewe kutambua.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi wizi IPTL kusikilizwa Februari

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Februari 24, 2014 itaanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya wizi wa mafuta yenye thamani ya Sh 970.6 milioni ya kulainisha mitambo ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), inayowakabili watu wanane.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani