Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shahidi apeleka simu 102 mahakamani

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepokea simu 102 kutoka kwa shahidi wa nne katika kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, kama kielelezo cha mashitaka kwa washitakiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Korti yapokea simu 102 kama ushahidi


NA SYLVIA SEBASTIAN
MAHAKAMA ya Wilaya Ilala, imekubali kupokea simu 102, kama kielelezo cha shahidi Koplo Furahin ambaye alitoa ushahidi wa kesi ya wizi wa simu inayowakabili washitakiwa sita.
Pia imeamuru kwamba mwenye mali akabidhiwe simu zake kwa kuwa hazina pingamizi.
Washitakiwa hao katika kesi hiyo ni Idd Pawa, Hamada Mohammed, Haji Waziri, Yusuph Muhangwa, Hashimu Idd, Ally Omary na Mathias Ndunguru.
Washitakiwa hao walipanda kizimbani jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan...

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi ‘amkaanga’ hakimu mahakamani

Shahidi wa kwanza katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Buguruni, Grace Kivelege na Karani wake, Rose Kuhima ameiambia mahakama kuwa karani wa mahakama hiyo alizificha fedha alizopewa na mtoa taarifa nyuma ya kabati ndani ya ofisi yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi amuumbua mshtakiwa mahakamani

Shahidi wa kwanza katika kesi ya wizi wa Sh23.4 milioni inayomkabili mfanyabishara Proches Mrosso (33), mkazi wa Mbezi Salasala, ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mshtakiwa alivyokuwa akichukua fedha hizo kidogo kidogo hadi kujenga nyumba yake na kusababishia hasara kwa kampuni.

 

9 years ago

Michuzi

Makala ya Sheria: KUMLAZIMISHA SHAHIDI KUFIKA MAHAKAMANI...


Na Bashir YakubKesi/shauri  lolote  iwe  jinai  au  madai  kuishinda  kwake   mara  nyingi  hutegemea  mambo  makuu  mawili. Kwanza  mashahidi ,pili  ushahidi. Mashahidi  siku  zote  ni  watu.  Hakuna  kitu  kinaweza  kuitwa  mashahidi  halafu  kisiwe  binadamu. Hii ni  tofauti  na  ushahidi. Ushahidi   si  lazima  wawe  binadamu.   Vitu hasa  vizibiti(exhibit)  ndivyo  huitwa  ushahidi. Nyaraka, mali,  vifaa,  na  kila  kitu  ambacho  mtu  anaweza kukitumia  mahakamani kuthibitisha  kile ...

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi kesi wizi wa simu JNIA afunguka

>Shahidi wa tatu katika kesi ya wizi wa simu zenye thamani ya Sh19 milioni, Koplo Frain amedai waliweka mtego uliofanikisha kuwakamatwa washtakiwa sita wakiwa na simu baada ya kuuziana.

 

9 years ago

Bongo5

Said Fella anasimamia wasanii 102

Said Fella anasimamia kijiji kizima cha wasanii! Kwa mujibu muasisi huyo wa Mkubwa na Wanawe, wasanii waliopo chini yake ni takriban 102. Hiyo kwa ni changomoto kubwa kama alivyokiambia kipindi cha Clouds E cha Clouds TV. “Sasa hivi wakati mchanga bado hajatoka humuoni mtu yeyote anayejitokeza, humuoni ndugu yake wala nani,” alisema. “Changamoto nyingine msanii […]

 

11 years ago

Habarileo

Magereza yapata leseni 102 za uchimbaji

Kamishna Jenerali wa Magereza, John MinjaJESHI la Magereza limepata leseni 102 za uchimbaji wa madini ya ujenzi katika maeneo mbalimbali ya magereza nchini.

 

9 years ago

GPL

TRUE LOVE (PENZI LA KWELI)-102

Ugonjwa hatari wa Ebola ulioikumba nchi ya Liberia iliyopo Magharibi mwa Bara la Afrika, unasababisha matatizo makubwa kwenye mapenzi ya vijana wawili waliokuwa wakipendana kwa dhati, Laurance na Rafiki ambao wote walikuwa madaktari. Laurance aliyesafirishwa na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa hadi nchini Liberia kuungana na jopo la madaktari kusaidiana kupambana na ugonjwa wa Ebola, anajikuta akiambukizwa ugonjwa huo hatari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani