Shahidi ‘amkaanga’ hakimu mahakamani
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Buguruni, Grace Kivelege na Karani wake, Rose Kuhima ameiambia mahakama kuwa karani wa mahakama hiyo alizificha fedha alizopewa na mtoa taarifa nyuma ya kabati ndani ya ofisi yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Oct
Shahidi kesi ya rushwa ya Hakimu afariki dunia
UPANDE wa mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wameithibitishia Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba aliyetakiwa kuwa shahidi wa pili katika kesi ya rushwa ya Sh 50,000 inayomkabili Hakimu Grace Kivegele na Karani wake, Rose Kuhima wa Mahakama ya Mwanzo Buruguri, amefariki dunia.
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Shahidi amuumbua mshtakiwa mahakamani
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hakimu mahakamani kwa rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga imemfikisha mahakamani Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Isungang’holo iliyopo kijiji cha Gimagi kata ya Shaghila wilaya ya Kishapu kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa.
10 years ago
Habarileo05 Sep
Shahidi apeleka simu 102 mahakamani
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepokea simu 102 kutoka kwa shahidi wa nne katika kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, kama kielelezo cha mashitaka kwa washitakiwa.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8w_p-yEQHSQ/VjfBpknjZiI/AAAAAAAID-8/N6LTr44kWk8/s72-c/DSC07091.jpg)
Makala ya Sheria: KUMLAZIMISHA SHAHIDI KUFIKA MAHAKAMANI...
![](http://1.bp.blogspot.com/-8w_p-yEQHSQ/VjfBpknjZiI/AAAAAAAID-8/N6LTr44kWk8/s640/DSC07091.jpg)
Na Bashir YakubKesi/shauri lolote iwe jinai au madai kuishinda kwake mara nyingi hutegemea mambo makuu mawili. Kwanza mashahidi ,pili ushahidi. Mashahidi siku zote ni watu. Hakuna kitu kinaweza kuitwa mashahidi halafu kisiwe binadamu. Hii ni tofauti na ushahidi. Ushahidi si lazima wawe binadamu. Vitu hasa vizibiti(exhibit) ndivyo huitwa ushahidi. Nyaraka, mali, vifaa, na kila kitu ambacho mtu anaweza kukitumia mahakamani kuthibitisha kile ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-M1H3UsFGAdk/XkqwSddvUbI/AAAAAAALdyM/p8ei9Wv1pBoPq8ktQFnvbREuXHa6wIZ9ACLcBGAsYHQ/s72-c/f8ad07c9-6b32-41d8-9279-969ede15e2a8.jpg)
UDHURU WA HAKIMU ANAYESIKILIZA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI MWANDISHI ERICK KABENDERA WAKWAMISHA MAJADILIANO MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Februari 17 mwaka 2020 imeshindwa kuendelea na makubaliano katika kesi a Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari Erick Kabendera kwa sababu Hakimu anayesikiliza kesi hiyo amepata udhuru.
Kwa mujibu wa ratiba ya kesi hiyo leo ilitegemewa kuwa ni hatma ya mwisho ya Kabendera kusota rumande tangu alipopandishwa kizimbani Agosti 5,mwaka 2019 baada ya kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPT2NHufWUAgVUG6G1H7qTJpq52sxANryc5SMYEE5uInsYXKzN3GmlG*r9cpEOq7JoUICU5ltgihsoJlKEQzY78/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Mrithi wa Ekelege ‘amkaanga’ kortini
10 years ago
Mtanzania10 Jan
CAG Utouh amkaanga Muhongo
MSIMAMO wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukataa kuwajibika baada ya kuhusishwa na kashfa ya ukwapuaji wa Sh bilioni 300 zilizokuwa zimehifadhiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow, sasa umeanza kutafasiriwa kuwa ni ung’ang’anizi wa madaraka.
Tafasiri hii imeanza kutolewa sasa ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja tangu Bunge la Jamhuri lilipopitisha maazimio nane yanayotakiwa kufanyiwa kazi na Serikali baada ya kutolewa ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya Escrow, likiwemo la...