UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPT2NHufWUAgVUG6G1H7qTJpq52sxANryc5SMYEE5uInsYXKzN3GmlG*r9cpEOq7JoUICU5ltgihsoJlKEQzY78/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s72-c/Planets.jpg)
UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?
![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s1600/Planets.jpg)
Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJLqkBVPxTVXVtzUEuofQK6KmHS7pxplL3JzDDp*qwLNnJGZ4gB4Qfo-WcCy-UGBzAicpeRKox8I2tiB5qB*wmSv/BACK.jpg?width=650)
UCHAWI WAFUMULIWA SOKONI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3M0sFiGpKtUGC08UkIYsLbn84aoIILFSaJQWW5XcFJHisA*Y7m4aGCrJKZ8QSWBpS8FIoMyDT6AbVSQaYnm4FST/Diamond.gif?width=650)
DIAMOND AJIFUNZA UCHAWI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun3y5t*EFN1pO0Wuxq0kiE4Uw2QTCO22E4hVf7hwWQ8fyRexjz-jjqR3FgWBKY2ml3W3Pfa2Y3WOc44ESeqwHqbm/Oath.jpg?width=650)
UHUSIANO WA FREEMASONS NA UCHAWI
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Wapentekoste washikana uchawi
SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Ni uchawi wa Uturuki, Oman Mkwakwani
WAKATI mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Yanga, wakitarajiwa kushuka kwenye dimba la Mkwakwani jijini Tanga kuwavaa wenyeji Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ leo, Shirikisho la Soka Tanzania...
9 years ago
Mwananchi31 Oct
CCM Iringa ‘washikana uchawi’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-5YwiIyenR-KotTt5*KXWyG0O7leZmN2TCiigVd4pGa1z0pRGcOM8922P8-p*PcpVTCxyQmMZQg*p8ks7Kl1ttMLPtrSgEyn/RisasiFrontpage.jpg?width=650)
UCHAWI WAMKIMBIZA ZARI BONGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtpVyu5KXYRazgP8cqNWOCjKZG5c9cMAeZFHB9oIbwQYtH4zrVEhsNozudA65Lz8pLke70JqCD-3v*DkEmip5Q6x/UCHAWI.jpg?width=650)
PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!