Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapentekoste washikana uchawi

SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CCM Iringa ‘washikana uchawi’

Baadhi ya wanachama wa CCM katika Jimbo la Iringa Mjini, wanamtuhumu Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu na viongozi na wanachama wengine kuwa wamekihujumu chama.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba washikana uchawi, yamshtaki mwamuzi

Simba-vs-Yanga-8NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KIPIGO ilichokipata timu ya Simba kwenye mchezo dhidi ya mahasimu wao, Yanga juzi kimezua mapya kwa wekundu hao baada ya wachezaji watatu wa safu ya ulinzi kudaiwa kufanya hujuma

Yanga ilivunja uteja dhidi ya Simba kwa kuichapa mabao 2-0 yaliyofungwa na washambuliaji, Amissi Tambwe na Malimi Busungu.

Habari za kutoka ndani ya Simba zilizolifikia gazeti hili zimedai kuwa wachezaji hao wa safu ya ulinzi walishindwa kabisa kuwazuia washambuliaji wa Yanga,...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?


Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...

 

10 years ago

Habarileo

Wajumbe Baraza la Wawakilishi washikana mashati

UKUMBI wa Baraza la Wawakilishi jana uligeuka uwanja wa ‘vita’ baada ua kuzuka vurugu na wajumbe kushikana mashati.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AJIFUNZA UCHAWI

Mwandishi Wetu Nyuma ya safari za mara kwa mara za Mbongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ za nchini Nigeria, kumeibuka madai mazito kuwa, anapokwenda huko hufundishwa mbinu za uchawi ili kukubalika duniani kama mastaa wa huko, Risasi Jumatano limenyetishwa. Kwa mujibu wa chanzo kimoja, Diamond anafundishwa uchawi na Wanigeria kwani ndiyo taswira ya sanaa yao inavyoakisi duniani ambapo ukiwa nchi nyingine...

 

10 years ago

GPL

UHUSIANO WA FREEMASONS NA UCHAWI

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea ni kwa nini Wana wa Israeli walikuwa na msimamo wa ukaidi kiasi cha kujifanyia masanamu na kuyaabudu? Ni nini chanzo cha mwelekeo huu? Je, kuna mkono wa Freemasons?SONGA NAYO… Tunapoichunguza jamii ya Freemasonry kwa undani na kwa kuzingatia kumbukumbu za historia, tunaona kuwa itikadi ya kipagani iliyowaathiri Waisraeli, ilikuwa ni ile ya Misri ya kale...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI WAFUMULIWA SOKONI

waandishi wetu
WE acha tu! Sangoma mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamed Chimwaganje (44), amezua kizaazaa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar kufuatia kufumua vitu chini ya ardhi vinavyodhaniwa ni vya ushirikina,  Risasi Jumamosi linakujuza. Sangoma Mohamed Chimwaganje akishika hirizi aliyoitoa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar. Tukio hilo la aina yake lilijiri asubuhi ya Machi 25,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Uchawi’ wa biashara zuio la EFD

MIFUMO ya ukusanyaji wa mapato haitokani na njama za chuki au fitina zinazofanywa na mamlaka za kiserikali zote duniani ili kuwaumiza wananchi wake. Ndiyo maana hata kiongozi wa taifa maskini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani