UCHAWI WAFUMULIWA SOKONI

waandishi wetu WE acha tu! Sangoma mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamed Chimwaganje (44), amezua kizaazaa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar kufuatia kufumua vitu chini ya ardhi vinavyodhaniwa ni vya ushirikina, Risasi Jumamosi linakujuza. Sangoma Mohamed Chimwaganje akishika hirizi aliyoitoa katika Soko la Kapera lililopo Mwembechai jijini Dar. Tukio hilo la aina yake lilijiri asubuhi ya Machi 25,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI
10 years ago
Vijimambo
UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?

Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Wapentekoste washikana uchawi
SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika...
10 years ago
GPL
DIAMOND AJIFUNZA UCHAWI
10 years ago
GPL
UHUSIANO WA FREEMASONS NA UCHAWI
10 years ago
GPL
DIAMOND, KIBA UCHAWI MTUPU!
11 years ago
GPL
UCHAWI KABURINI KWA RECHO
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
‘Uchawi’ wa biashara zuio la EFD
MIFUMO ya ukusanyaji wa mapato haitokani na njama za chuki au fitina zinazofanywa na mamlaka za kiserikali zote duniani ili kuwaumiza wananchi wake. Ndiyo maana hata kiongozi wa taifa maskini...
11 years ago
GPL
TIMBWILI LA KUSHIKANA UCHAWI LATIKISA