TIMBWILI LA KUSHIKANA UCHAWI LATIKISA
![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVkuYsumCJ*M*myLFdn3JASQRvjCGlrb5AeCY53vHb2Q4a2Nmw0QeaNnwTktthvISyXRnfptHeW-LJ5SDPULt9z2/timbwili.jpg)
Stori: WAANDISHI WETU ULOZI! Katika hali ya kushangaza, mama aliyetajwa kwa jina la Khadija Omari amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kushikana uchawi na kikongwe anayefahamika kwa jina moja la Siberi akiwa na mganga wake, Rashid na kuibua timbwili lililotikisa, akimtuhumu kikongwe huyo kumchukua mwanaye kimazingara ‘msukule’. Mzee Kikongwe anayefahamika kwa jina moja la Siberi mwenye kushutumiwa kwa ulozi. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPT2NHufWUAgVUG6G1H7qTJpq52sxANryc5SMYEE5uInsYXKzN3GmlG*r9cpEOq7JoUICU5ltgihsoJlKEQzY78/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s72-c/Planets.jpg)
UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?
![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s1600/Planets.jpg)
Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
CCM Babati waendelea kushikana ‘uchawi’
MGOGORO uliokumba Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati umezidi kushika “kasi” kufuatia hatu
Paul Sarwatt
11 years ago
Mwananchi30 May
‘Kushikana mikono chanzo cha kusambaza magonjwa’
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Jul
Bomu latikisa Arusha
Lalipuka mgahawani, wanane wajeruhiwa Watuhumiwa wawili mbaroni, 25 wasakwa Kamati ya usalama ya mkoa yalaumiwa
WAANDISHI WETU, ARUSHA NA DAR
WATU wanane wakiwemo wanne wa familia moja wenye asili ya kiasia, wamelipukiwa na bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakila chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cusine uliopo mtaa wa Uzungunni mjini Arusha.
Tukio hilo ambalo ni la sita kutokea jijini Arusha, lilitokea juzi, saa 4.30 usiku, katika mgawaha huo uliopo jirani na...
10 years ago
BBCSwahili30 May
Tetemeko la ardhi latikisa Japan
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfCDVC4TBwAPRNU4FgE8c-SDqwQfach4fL7u2ELCq*Wsbw5EZXVxY7*mh7Gkmn*8rVpSUQSyNEdjfh52JsN*s8Ok/timbwili.jpg)
TIMBWILI GESTI!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JWVmD*3ooUeqp2Fn5589KiIbV3Ye5Hr-dHJWO9EqozHt7XfoExsz9yQTkYa9BO5dOKiXgTxtMznni84cNIDnJPiM2NTkvJUb/tt.jpg)
TIMBWILI MSIBANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi3LtFCCfKWwAogl6xA1LzliGHUCNpt6lAdx5PaIIRjGs7gC5JgkZetr80qtCV2wxWqP8KWOF111oW4LegUAtRTR/timbiliwodini.jpg)
TIMBWILI WODINI