Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomu latikisa Arusha



 Lalipuka mgahawani, wanane wajeruhiwa Watuhumiwa wawili mbaroni, 25 wasakwa Kamati ya usalama ya mkoa yalaumiwa
WAANDISHI WETU, ARUSHA NA DAR
WATU wanane wakiwemo wanne wa familia moja  wenye asili ya kiasia, wamelipukiwa na bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakila chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cusine uliopo mtaa wa Uzungunni mjini Arusha.
Tukio hilo ambalo ni la sita kutokea jijini Arusha, lilitokea juzi, saa 4.30 usiku, katika mgawaha huo uliopo jirani na...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

News alert: Vuguvugu la kutaka kumng'oa madarakani spika wa bunge la Afrika mashariki latikisa Arusha

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki leo wameendelea na mchakato wao wa  kumuondoa spika  Mhe. Dkt. Margaret Nantongo Zziwa,  baada mahakama ya Afrika ya Mashariki ( East Afrika court of Justice) jijini Arusha kukataa kuzuia zoezi la kumuondosha katika kiti hicho. Ripota wetu anataarifu kutoka huko kuwa bunge liliahirishwa kukutana tena leo asubuhi baada ya suluhu kukosekana. "Hili linazuia mchakato mzima wa bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kusomwa", Mbunge mmoja alisikika...

 

11 years ago

GPL

NANE WAJERUHIWA NA BOMU ARUSHA

  Watu 8, wengi wao ni wenye asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa kwa bomu lililotupwa kwenye Mgahawa wa Gymkhana Arusha usiku wa kuamkia leo!

 

11 years ago

GPL

BOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana. Majeruhi baada ya bomu kulipuka.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sita wa bomu Arusha waruhusiwa

MAJERUHI sita kati ya nane wa bomu lililorushwa kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini hapa juzi, wameruhusiwa kutoka Hospitali ya KKKT Seliani huku mmoja akipelekwa jijini Nairobi, Kenya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ustadhi ajeruhiwa na bomu Arusha

bomu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.

Na Mwandishi wetu

Mlipuko inayodhaniwa kuwa mabomu imezidi kushamiri katika Jiji la Arusha, baada ya watu wawili kujeruhiwa na kilichodaiwa kuwa ni bomu la kutupa kwa mkono.

Waliojeruhiwa ni Ustadhi Sudi Ali Suli, pamoja na mgeni wake aliyetambulika kwa jina la Mhaji Hussein kutoka jijini Nairobi, Kenya.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio la mlipuko...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bomu jingine lajeruhi 17 Arusha

MATUKIO ya milipuko ya mabomu yameendelea kulitikisa Jiji la Arusha baada ya watu 17 waliokuwa wakiangalia mpira kwenye baa ya Arusha Night Park, iliyopo maeneo ya Mianzini kujeruhiwa vibaya na...

 

11 years ago

Habarileo

Mgahawa wapigwa bomu Arusha

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige akiangalia kidonda cha Deeptak Gupta, ambaye ni mmoja wa majeruhi nane wa mlipuko wa bomu, uliotokea usiku wa kuamkia jana katika mgahawa wa Vama Traditinal Indian Cuisine jijini Arusha. (Na Mpigapicha Wetu).WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.

 

11 years ago

Habarileo

Washitakiwa bomu la Arusha ‘walindwa’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilipewa ulinzi mkali wa Polisi wakati watuhumiwa tisa wa mlipuko wa bomu, uliotokea baa ya Arusha Night Park, walipofikishwa mahakamani hapo.

 

11 years ago

Habarileo

Majeruhi wa bomu la Arusha wachunguzwa

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah MwambeneMAJERUHI wa bomu lililolipuliwa katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini Arusha juzi, wanachunguzwa na Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani