Majeruhi wa bomu la Arusha wachunguzwa
MAJERUHI wa bomu lililolipuliwa katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini Arusha juzi, wanachunguzwa na Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTASWIRA ZA MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA WAKIWA HOSPITALI YA SELIAN
11 years ago
CloudsFM09 Jul
MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI
Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.
Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...
11 years ago
GPLMAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA KANISANI JIJINI MWANZA
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Jul
Bomu latikisa Arusha
Lalipuka mgahawani, wanane wajeruhiwa Watuhumiwa wawili mbaroni, 25 wasakwa Kamati ya usalama ya mkoa yalaumiwa
WAANDISHI WETU, ARUSHA NA DAR
WATU wanane wakiwemo wanne wa familia moja wenye asili ya kiasia, wamelipukiwa na bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakila chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cusine uliopo mtaa wa Uzungunni mjini Arusha.
Tukio hilo ambalo ni la sita kutokea jijini Arusha, lilitokea juzi, saa 4.30 usiku, katika mgawaha huo uliopo jirani na...
11 years ago
GPLNANE WAJERUHIWA NA BOMU ARUSHA
11 years ago
GPLBOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Bomu jingine lajeruhi 17 Arusha
MATUKIO ya milipuko ya mabomu yameendelea kulitikisa Jiji la Arusha baada ya watu 17 waliokuwa wakiangalia mpira kwenye baa ya Arusha Night Park, iliyopo maeneo ya Mianzini kujeruhiwa vibaya na...
11 years ago
Habarileo13 Jun
Washitakiwa bomu la Arusha ‘walindwa’
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilipewa ulinzi mkali wa Polisi wakati watuhumiwa tisa wa mlipuko wa bomu, uliotokea baa ya Arusha Night Park, walipofikishwa mahakamani hapo.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Sita wa bomu Arusha waruhusiwa
MAJERUHI sita kati ya nane wa bomu lililorushwa kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini hapa juzi, wameruhusiwa kutoka Hospitali ya KKKT Seliani huku mmoja akipelekwa jijini Nairobi, Kenya...