TASWIRA ZA MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA WAKIWA HOSPITALI YA SELIAN
![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRatrubLAYWPsBV7wD6Y6*eiUp9BJvnGHCe8dFvJl01mdGR1MbavIldD33pNZqHUDKHFRUUvpmrl36ABl*T6oUtb/1majeruhiiii.jpg?width=650)
Baadhi ya majeruhi wakiwa katika hospitali ya Rufaa ya Selian mkoani Arusha wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na Mahakama Kuu jijini Arusha usiku wa kuamkia Julai 7, mwaka huu. Katika mlipuko huo, watu nane walijeruhiwa vibaya huku mmoja akikatwa mguu baada ya kuumia sana. (PICHA NA… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX1-ZZHL4rvF6VtM89S-qA2Q8lVcJLmxcQqVZmn1xeFjPoS7RlJwDplZ1ZpvgECZRl0eLCsbEdMme-nfInCuX041/2.jpg?width=650)
TASWIRA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUHUYE WAKIWA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO, MWANZA
11 years ago
Habarileo10 Jul
Majeruhi wa bomu la Arusha wachunguzwa
MAJERUHI wa bomu lililolipuliwa katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini Arusha juzi, wanachunguzwa na Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji.
11 years ago
CloudsFM09 Jul
MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI
Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.
Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhPh-i6jd38FOGD2Sb1bWMbUTyNBDpyF2RNuABuOxQYq9Xqih0XgPciQuZadmNUwcxcM1Jmb0PxGQXWyuI5vzWaN/BOMUMWANZA1.jpg)
MAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA KANISANI JIJINI MWANZA
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4E-JB2WyMDQ/VcytA93NwjI/AAAAAAABTsc/E8RnTKQcJb0/s72-c/3a59cde0-41b8-11e5-9da2-e1a5aa2506c2_AP_823621262415.jpg)
WALIOKUFA MLIPUKO WA CHINA WAFIKIA WATU 50, MAJERUHI 700
![](http://1.bp.blogspot.com/-4E-JB2WyMDQ/VcytA93NwjI/AAAAAAABTsc/E8RnTKQcJb0/s640/3a59cde0-41b8-11e5-9da2-e1a5aa2506c2_AP_823621262415.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iGPexHxb8Q4/VcytDok459I/AAAAAAABTtA/ic5HTmBUF_E/s640/Part-HKG-Hkg10201885-1-1-0.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-t0en-grhM6M/VcytC1OrLKI/AAAAAAABTso/gZPPOHL7Bqs/s640/3f308340-41b8-11e5-9da2-e1a5aa2506c2_AP_79637596873.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-luzbe7f1IDI/VcytCofyjBI/AAAAAAABTs8/-f-cPWHUXqI/s640/29e56b333610f1247e0f6a7067003e1b.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ewj7fAAtwCg/VcytCgjJ3rI/AAAAAAABTsk/w7M6wkpYADo/s640/37257de0-41b8-11e5-9da2-e1a5aa2506c2_GettyImages-483769984.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HhWoeXHxfEE/VcytEUF-RdI/AAAAAAABTtE/zpNVexrwD74/s640/a2fd49d53607f1247e0f6a706700df53.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHm7-1ddMTKEnSslVCnnB81WolM4ZF9dtLb6iFMk4IP7d*8Np7g0lpq8cW5p48A30Lpm*WyJcrIRrPpRLCTTMvc/mlipuko.jpg)
MLIPUKO WA BOMU WAUA SOMALIA
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Mlipuko wa bomu wawaua 30 Yemen
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Mlipuko wa bomu Mogadishu wawauwa 3