Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR

HABARI ambazo mtandao huu umezipata sasa hivi kutoka Zanzibar zinasema kuna mlipuko umetokea Zanzibar karibu na Kanisa la Anglikana. Polisi wameshafika eneo la tukio na madhara yake bado hayajajulikana. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MLIPUKO WA BOMU WATOKEA ENEO LA MKUNAZINI HUKO ZANZIBAR

 Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu kinachozaniwa ni mlipuko wa bomu uliotokea Jumatatu mchana katika eneo la Mkunazini mjini Zanzibar. Hakuna mtu aliyepata maadhara na hakuna uharibifu wa majengo katika eneo hilo.   
 Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mhe. Abdi Mahmoud Mzee akizungumza naKiongozi wa Kanisa la Mkunazini, Ndg. Nuhu Salanya, na Maofisa wa JWTZ , katika eneo la tukio  alipofika katika eneo la tukio kuangalia athari na uharibifu uliotokea.
Mkuu wa Wilaya ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amtumia salamu za pole Dkt. Shein kufuatia mlipuko wa bomu Zanzibar

Jakaya-Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein  kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu  katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014,  mjini Unguja.

‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu Mogadishu wawauwa 3

Bomu moja lililokuwa limefichwa katika mfuko wa plastiki limelipuka katika mji mkuu wa Somali ,Mogadishu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu wawaua 30 Yemen

Mlipuko mmoja umetokea katika gari nje ya chuo cha mafunzo ya Polisi katika mji mkuu wa Yemen-Sanaa.

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA SOMALIA

WATU kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha katika mlipuko mkubwa wa bomu la kujitoa muhanga katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja wa ndege. Mlipuko huo umesababiswa na mtu aliyejitoa muhanga kwa kujilipua akiwa ndani ya gari lililokuja na kuegesha katikati ya msafara wa magari ya Shirika la Umoja wa Mataifa na magari yaliyokuwa yakiusindikiza msafara huo. Kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab mara kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu wawaua watu 30 Libya

Zaidi ya watu 30 wameuawa na wengine kujeruhiwa kutokana na bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari huko Libya

 

11 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA 21 ABUJA NIGERIA

Mulipuko wa bomu umetokea katika duka kubwa la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza, jijini Abuja, Nigeria.…

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA WATATU KABUL

Mmoja wa majeruhi katika shambulio hilo akitolewa eneo la tukio. Baadhi ya magari yaliyoteketea kutokana na shambulio hilo. Mama huyu akitolewa eneo la mlipuko na kupelekwa sehemu salama. WATU watatu wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine takribani 20 wakijeruhiwa baada ya mlipuko kutokea kwenye uwanja wa ndege wa…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa bomu wawaua watu 23 Nigeria

Watu 23 wameuawa Kaskazini mwa Nigeria wakati mabomu yaliyokuwa yameachwa nyuma na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram yalipolipuka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani