MLIPUKO WA BOMU WATOKEA ENEO LA MKUNAZINI HUKO ZANZIBAR
Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu kinachozaniwa ni mlipuko wa bomu uliotokea Jumatatu mchana katika eneo la Mkunazini mjini Zanzibar. Hakuna mtu aliyepata maadhara na hakuna uharibifu wa majengo katika eneo hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mhe. Abdi Mahmoud Mzee akizungumza naKiongozi wa Kanisa la Mkunazini, Ndg. Nuhu Salanya, na Maofisa wa JWTZ , katika eneo la tukio alipofika katika eneo la tukio kuangalia athari na uharibifu uliotokea.
Mkuu wa Wilaya ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Oct
Mlipuko unaosadikiwa kuwa ni wa bomu watokea nyumbani kwa Afisa Mafunzo GGM
Watu wasiojulikana wamelipua kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu ambacho kilikuwa kimetegwa kwenye uzio wa tofali katika nyumba anayoishi Afisa Mafunzo wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita Lucy Joseph.
Bomu hilo lililipuka Oktoba 28 majira ya saa tatu na nusu usiku baada ya Lucy kupokea ujumbe mfupi wa simu wa vitisho kutoka kwa mtu asiyemfahamu akidai ampatie fedha na vinginevyo atalipua nyumba yake kwa bomu.
Muda mfupi baada ya lucy kupokea ujumbe ndipo ulisikika mshindo mkubwa sana uliosikika eneo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Rais Kikwete amtumia salamu za pole Dkt. Shein kufuatia mlipuko wa bomu Zanzibar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014, mjini Unguja.
‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote...
11 years ago
BBCSwahili02 May
Mlipuko mkubwa watokea Nigeria
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mlipuko mkubwa watokea Yola, Adamawa
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Mlipuko watokea kambi ya Polisi Misri
11 years ago
Habarileo25 Feb
Kanisa la Mkunazini Zanzibar lalipuliwa
MILIPUKO minne imelipuka mjini Zanzibar na kujeruhi watu wanne.
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Mlipuko wa bomu wawaua 30 Yemen
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHm7-1ddMTKEnSslVCnnB81WolM4ZF9dtLb6iFMk4IP7d*8Np7g0lpq8cW5p48A30Lpm*WyJcrIRrPpRLCTTMvc/mlipuko.jpg)
MLIPUKO WA BOMU WAUA SOMALIA