Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlipuko mkubwa watokea Yola, Adamawa

Mlipuko mkubwa umetokea katika kambi moja ya wakimbizi wa ndani mjini Yola mji mkuu wa Jimbo la Kaskazini Mashariki la Adamawa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa watokea Nigeria

Mlipuko umetokea katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja karibu na eneo ambako kulitokea shambulizi baya la bomu mwezi uliopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko watokea kambi ya Polisi Misri

Mtu mmoja ameuawa na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya Mtu mmoja kujitoa muhanga akilenga Kambi ya Polisi, Maafisa wameeleza.

 

11 years ago

Michuzi

MLIPUKO WA BOMU WATOKEA ENEO LA MKUNAZINI HUKO ZANZIBAR

 Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu kinachozaniwa ni mlipuko wa bomu uliotokea Jumatatu mchana katika eneo la Mkunazini mjini Zanzibar. Hakuna mtu aliyepata maadhara na hakuna uharibifu wa majengo katika eneo hilo.   
 Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mhe. Abdi Mahmoud Mzee akizungumza naKiongozi wa Kanisa la Mkunazini, Ndg. Nuhu Salanya, na Maofisa wa JWTZ , katika eneo la tukio  alipofika katika eneo la tukio kuangalia athari na uharibifu uliotokea.
Mkuu wa Wilaya ya...

 

9 years ago

StarTV

Mlipuko unaosadikiwa kuwa ni wa bomu watokea nyumbani kwa Afisa Mafunzo GGM

Watu wasiojulikana wamelipua kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu ambacho kilikuwa kimetegwa kwenye uzio wa tofali katika nyumba anayoishi Afisa Mafunzo wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita Lucy Joseph.

Bomu hilo lililipuka Oktoba 28 majira ya saa tatu na nusu usiku baada ya Lucy kupokea ujumbe mfupi wa simu wa vitisho kutoka kwa mtu asiyemfahamu akidai ampatie fedha na vinginevyo atalipua nyumba yake kwa bomu.

Muda mfupi baada ya lucy kupokea ujumbe ndipo ulisikika mshindo mkubwa sana uliosikika eneo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa wa Ebola hautarajiwi:WHO

Mlipuko mkubwa wa Ebola nchini Marekani na kwingineko nchi za magharibi hakukupewa mifumo imara ya afya kuudhibiti

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa wasikika Mogadishu

Ripoti kutoka Somali zinasema kuwa mlipuko mkubwa umesikika karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Mogadishu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa watikisa Mogadishu

Mshambuliaji wa kujitoa muhanga amejilipua akiwa ndani ya gari na kuwauwa watu 12 na kujeruhi wengine wanane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa wakumba Mogadishu

Mlipuko mkubwa umetokea katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja mkuu wa ndege.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa watikisa Cairo

Maafisa wa Misri wanasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa wa bomu nje ya Makao makuu ya polisi jijini Cairo ambapo watu 4 wamefariki na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani