Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI

Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.

Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Majeruhi wa bomu la Arusha wachunguzwa

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah MwambeneMAJERUHI wa bomu lililolipuliwa katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine jijini Arusha juzi, wanachunguzwa na Jeshi la Polisi na Idara ya Uhamiaji.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA WAKIWA HOSPITALI YA SELIAN

Baadhi ya majeruhi wakiwa katika hospitali ya Rufaa ya Selian mkoani Arusha wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na Mahakama Kuu jijini Arusha usiku wa kuamkia Julai 7, mwaka huu.
Katika mlipuko huo, watu nane walijeruhiwa vibaya huku mmoja akikatwa mguu baada ya kuumia sana. (PICHA NA… ...

 

11 years ago

GPL

BOMU LALIPUKA BAR, LAJERUHI ZAIDI YA 10 ARUSHA

BOMU limelipuka katika baa ya Night Park iliyopo jijini Arusha na kujeruhi watu zaidi ya 10 waliokuwa eneo hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko huo.

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU

Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu. MTOTO Satrin Osinya aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio la kigaidi lililofanywa kwenye kanisa la Joy of Jesus huko Likoni, Mombasa nchini Kenya Jumapili iliyopita, jana amefikishwa jijini Nairobi kwa matibabu. Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya...

 

11 years ago

GPL

WANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA

SHERIA inayoruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria hiyo licha ya malalamiko kutoka kwa vikundi vya wanawake nchini humo. Taarifa kutoka katika ofisi ya Rais ilisema kuwa mswada huo ambao unajumuisha vipengee kadhaa kuhusu ndoa , imekuwa sheria sasa. Mswada huo ulioleta mageuzi katika sheria ya sasa , ulipitishwa na bunge mwezi jana kuidhinisha rasmi utamaduni wa...

 

11 years ago

GPL

MAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA KANISANI JIJINI MWANZA

Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana usiku. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, amesema mlipuko unaodaiwa kutokea jana, ulitokana na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya...

 

11 years ago

Bongo5

Jina la mmoja wa watangazaji maarufu zaidi Kenya ‘Mbusi’ lilitokana na wimbo ‘Anita’ wa Matonya

Jina la mtangazaji maarufu wa Radio Jambo ya Kenya ambaye zamani alikuwa mtangazaji wa redio inayotumia Sheng, Ghetto Radio lilitokana na wimbo wa mwaka 2008 wa Matonya ‘Anita’ aliomshirikisha Lady Jaydee. Akiongea kwenye mahojiano na kituo cha runinga cha KTN mwaka jana, Mbusi ambaye jina lake halisi ni Githinji Mwangi, alisema wimbo huo uligusa yaliyomtokea […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ustadhi ajeruhiwa kwa bomu Arusha

MILIPUKO inayodhaniwa kuwa mabomu imezidi kushamiri katika Jiji la Arusha, baada ya watu wawili kujeruhiwa na kilichodaiwa kuwa ni bomu la kutupa kwa mkono. Waliojeruhiwa ni Ustadhi Sudi Ali Suli,...

 

11 years ago

Habarileo

Wanakwaya Arusha walipuliwa kwa bomu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasWANAKWAYA sita wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, mkoani hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni na ya Tengeru, Arumeru baada ya kujeruhiwa kwa bomu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani