Jina la mmoja wa watangazaji maarufu zaidi Kenya ‘Mbusi’ lilitokana na wimbo ‘Anita’ wa Matonya
Jina la mtangazaji maarufu wa Radio Jambo ya Kenya ambaye zamani alikuwa mtangazaji wa redio inayotumia Sheng, Ghetto Radio lilitokana na wimbo wa mwaka 2008 wa Matonya ‘Anita’ aliomshirikisha Lady Jaydee. Akiongea kwenye mahojiano na kituo cha runinga cha KTN mwaka jana, Mbusi ambaye jina lake halisi ni Githinji Mwangi, alisema wimbo huo uligusa yaliyomtokea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo506 Sep
Nguvu ya media: Jina la mtoto wa Kanye na Kim lilitokana na uvumi wa vyombo vya habari
11 years ago
GPL
WANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA
11 years ago
CloudsFM09 Jul
MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI
Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.
Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...
10 years ago
GPL11 Jun
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Wimbo maarufu 'happy birthday' huru
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Bongo518 Dec
Bob Junior ataja jina la wimbo aliomshirikisha Diamond

Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika.
Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You.
Bob ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy.
“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” amesema.
Bob Junior pia amewataka mashabiki wake...
9 years ago
Bongo503 Dec
Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!

Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.
Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.
Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:
“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...