Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nguvu ya media: Jina la mtoto wa Kanye na Kim lilitokana na uvumi wa vyombo vya habari

Nguvu ya vyombo vya habari ndio iliyowapelekea Kim Kardashian na Kanye West kupata jina la binti yao sababu wanandoa hao hawakubuni jina la ‘North’. Rapper Kanye West na mke wake Kim Kardashian mwaka jana waliwashangaza watu wengi kwa kuamua kumpa mtoto wao wa kike jina la ‘North’, ambalo kidogo lilionekana kuwa tofauti. Lakini haikuwahi kufahamika […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume

kanye and kim

Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.

kanye and kim

Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?

Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...

 

9 years ago

Bongo5

Hili linaweza kuwa jina atakalopewa mtoto wa kiume wa Kanye West na Kim Kardashian

Grand Opening of RYU Restaurant - Inside

Kanye West na Kim Kardashian wamejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyomalizika japo jina la mtoto bado halijafamika.

Grand Opening of RYU Restaurant - Inside

Hata hivyo kuna tetesi kuwa mtoto huyo ataitwa Robert, jina la baba yake Kim Kardashian ambaye ni marehemu kwa sasa.

2F166FE700000578-3348507-And_baby_makes_four_Kim_with_her_first_child_daughter_North_two_-m-28_1449435844411

Mtoto huyo alizaliwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center ya Los Angeles kwenye wodi ya uzazi yenye gharama ya $4,000.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian bado wanahaha kutafuta jina la mtoto wao ajaye

1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom

Muda wa kumpokea mtoto wa pili umekaribia lakini Kim Kardashian na Kanye West wanadaiwa hadi sasa hawajapata jina la kumpa.

1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom

Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wanandoa hao wamekuwa wakijadiliana majina ya kumpa lakini bado hawajapenda hata moja.

Wanatarajia kupata mtoto wa kiume siku ya Christmas japo Kim anahofia kuwa anaweza kujifungua mapema zaidi. Kanye na Kim wana mtoto wa kike, North.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian ataja jina alilomchagulia mtoto anayetarajia kujifungua, japo hana uhakika kama Kanye atalipenda

Baada ya familia ya Kanye West na Kim Kardashian kushare na ulimwengu jinsia ya mtoto wanayetarajia kumpata siku ya Christmas kuwa ni wa kiume, sasa kinachofata ni jina. Staa wa reality show ya KUWTK, Kim K (34) amesema kuwa kuna jina ambalo yeye binafsi angependa kumwita mwanaye pindi atakapozaliwa ambalo ni Easton, lakini hana uhakika […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-un aonekana hadharani, vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimeripoti

Ripoti za kuonekana kwake hadharani zimekuja huku kukiwa na tetesi juu ya afya ya kiongozi huyo wa Korea Kaskazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nguvu ya vyombo vya habari ienee vijijini

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru, Absalom Kibanda, Samson Mwigamba na Theophil Makunga dhidi ya tuhuma za uchochezi zilizokuwa zikiwakabili. Hii ilikuwa kesi ya aina yake ambayo Jeshi...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

 Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC). Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani