Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nguvu ya vyombo vya habari ienee vijijini

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru, Absalom Kibanda, Samson Mwigamba na Theophil Makunga dhidi ya tuhuma za uchochezi zilizokuwa zikiwakabili. Hii ilikuwa kesi ya aina yake ambayo Jeshi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nguvu ya media: Jina la mtoto wa Kanye na Kim lilitokana na uvumi wa vyombo vya habari

Nguvu ya vyombo vya habari ndio iliyowapelekea Kim Kardashian na Kanye West kupata jina la binti yao sababu wanandoa hao hawakubuni jina la ‘North’. Rapper Kanye West na mke wake Kim Kardashian mwaka jana waliwashangaza watu wengi kwa kuamua kumpa mtoto wao wa kike jina la ‘North’, ambalo kidogo lilionekana kuwa tofauti. Lakini haikuwahi kufahamika […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo Asisitiza Watumishi Kutoa Elimu ya Corona Hadi Vijijini Baada ya Wananchi na Vijana Wengi kutofuatilia Vyombo vya Habari


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akipimwa hali yake ya joto la mwili kabla ya kuingia katika ofisi za kituo cha Uhami`aji kilichopo katika mpaka wa Kasesya unaotenganisha nchi ya Tanzania na Zambia,uliopo kata ya Itete, Wilayani Kalambo.Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maelekezo kwa maafisa wa uhamiaji pamoja na watumishi wa mpaka wa Kasesya unaotenganisha nchi ya Tanzania na Zambia kuhakikisha wananchi wanaotumia mpaka huo wanazingatia...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGEWA MOSHI VIJIJINI DKT CYRIL CHAMI ASIKITISHWA NA TAARIFA ZA KIZUSHI ZINAZOSAMBAZWA KWA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI JUU YAKE.

Mimi Dr Cyril August Chami, Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM) napenda kueleza masikitiko yangu kwa taarifa za uzushi na za kutunga kuwa eti mke wangu asiye na jina amemuua mfanyakazi wetu Mwislamu kwa sababu "marehemu" alikataa kwenda kanisani.

Mimi sina mfanyakazi wa jina hilo la Mariamu. Wala sina mfanyakazi mwenye umri wa miaka 16. Hatuna tatizo lolote la mfanyakazi yeyote kupigwa, achilia mbali kuuawa. Lakini taarifa hizo ambazo ni za uongo mtupu zimewashtua wengi kwa sababu...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani