Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume
Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.
Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?
Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Dec
Hili linaweza kuwa jina atakalopewa mtoto wa kiume wa Kanye West na Kim Kardashian
![Grand Opening of RYU Restaurant - Inside](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/042412-fashion-beauty-kim-kardashian-kanye-west-3-300x194.jpg)
Kanye West na Kim Kardashian wamejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyomalizika japo jina la mtoto bado halijafamika.
Hata hivyo kuna tetesi kuwa mtoto huyo ataitwa Robert, jina la baba yake Kim Kardashian ambaye ni marehemu kwa sasa.
Mtoto huyo alizaliwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center ya Los Angeles kwenye wodi ya uzazi yenye gharama ya $4,000.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...
9 years ago
Bongo501 Dec
Kanye West na Kim Kardashian bado wanahaha kutafuta jina la mtoto wao ajaye
![1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom-300x194.jpg)
Muda wa kumpokea mtoto wa pili umekaribia lakini Kim Kardashian na Kanye West wanadaiwa hadi sasa hawajapata jina la kumpa.
Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wanandoa hao wamekuwa wakijadiliana majina ya kumpa lakini bado hawajapenda hata moja.
Wanatarajia kupata mtoto wa kiume siku ya Christmas japo Kim anahofia kuwa anaweza kujifungua mapema zaidi. Kanye na Kim wana mtoto wa kike, North.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...
9 years ago
Bongo506 Dec
Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume
![kim na kanye](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kim-na-kanye-300x194.jpg)
Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).
Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.
He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015
Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...
9 years ago
Bongo501 Oct
Kim Kardashian ataja jina alilomchagulia mtoto anayetarajia kujifungua, japo hana uhakika kama Kanye atalipenda
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Ndoa ya Kanye West, Kim Kardashian ilivyokuwa gumzo Duniani
MEI 24, Dunia ilishuhudia shamrashamra za harusi ya mastaa wakubwa wanaotikisa kwa kazi zao, mwanadada, Kim Kardashian na Kanye West, baada ya wawili hao kufunga ndoa wakiachana na ukapera. Kim...
9 years ago
Bongo527 Oct
Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?
10 years ago
Bongo523 Dec
Picha: Kanye West na Kim Kardashian wawa visura wa kampeni ya Balmain
10 years ago
Bongo522 Oct
Kanye West amuandikia ujumbe mtamu wa birthday mkewe Kim Kardashian