Bob Junior ataja jina la wimbo aliomshirikisha Diamond
Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika.
Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You.
Bob ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy.
“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” amesema.
Bob Junior pia amewataka mashabiki wake...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 May
Bob Junior, Diamond kuja na wimbo wa pamoja
NA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kushangaza wengi alipohudhuria katika sherehe ya Zari All White Party iliyoandaliwa na msanii Abdul Nasib ‘Diamond’ anayedaiwa kutoelewana naye, prodyuza Raheem Rummy ‘Bob Junior’, ameendelea kushangaza wengi kwa madai kwamba wapo mbioni kurekodi wimbo wa pamoja na msanii huyo.
Prodyuza huyo aliweka wazi mipango yake hiyo huku akidai tayari ameshanunua baadhi ya vifaa vipya kwa ajili ya kuimarisha studio yake iwe katika ubora wa kimataifa kama studio nyingine...
9 years ago
Bongo501 Oct
Hili ndio jina la wimbo wa Avril aliomshirikisha AY, mtazame akiuongelea (Video)
10 years ago
Bongo514 Aug
‘Unafanya kazi na mkata viuno’ — Mashabiki wamchana Roma kurekodi wimbo na Bob Junior
9 years ago
Bongo519 Sep
Iyanya aachia album yake ya nne ‘Applaudise’ yenye wimbo aliomshirikisha Diamond
10 years ago
Bongo502 Dec
Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...