Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce
Nicki Minaj ameweka wazi orodha ya nyimbo zitakazopatika kwenye album yake ijayo, ‘The Pinkprint’. Kwa mujibu wa orodha hiyo ambayo rapper huyo aliionesha kwenye Instagram jana, album hiyo inayosubiriwa kwa hamu ina nyimbo 19 zikiwemo alizowashirikisha Beyonce Knowles na Ariana Grande. Bey, aliyemshirikisha Minaj kwenye remix ya “Flawless”, atasikika kwenye wimbo wake ‘Feeling Myself’. Grande, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
Ikiwa ni siku 4 zimesalia kabla album ya Nicki Minaj iitwayo ‘The Pinkprint’ itoke, nyimbo mbili kutoka kwenye album hiyo zimevuja. Moja ya nyimbo hizo ni collabo yake na Beyonce ‘Feeling Myself’, wimbo ambao wote wawili wamezungumzia mafanikio yao. Wimbo mwingine uliovuja kutoka kwenye album hiyo ni ‘Get On Your Knees’ aliomshirikisha Ariana Grande. The […]
9 years ago
Bongo501 Oct
Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj, Usher na mastaa wengine kutumbuiza kwenye show ya charity ya Tidal
Baada ya mtandao wa Tidal kufikisha zaidi ya watumiaji milioni moja, Jay Z aliahidi kusheherekea na sasa ametangaza shangwe hizo zitakuwa lini na wapi. Jay ametangaza show za charity za TIDAL X: 1020 ambapo kwa mara ya kwanza itafanyika Oct. 20 kwenye uwanja/ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn. Pamoja na Jay Z mwenyewe, mastaa wengine watakaotumbuiza […]
11 years ago
Bongo509 Jul
New Music: Usher aachia wimbo mpya aliomshirikisha Nicki Minaj na kutengenezwa na Pharrell ‘She Came to Give It to You’
Usher Raymond jana (July 8) ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘She Came to Give It to You’ baada ya ‘Good kisser’. Katika wimbo huo kamshirikisha rapper wa kike Nicki Minaj. Producer wa wimbo huo ni hit maker wa ‘Happy’, Pharrell Williams. Wimbo huu utapatikana katika album ya nane ya Usher inayotarajiwa kutoka mwezi September mwaka […]
11 years ago
Bongo503 Aug
New Music: Beyonce Ft. Nicki Minaj — ‘Flawless Remix’
Beyonce ameachia remix ya wimbo wake ‘Flawless Remix’ ambayo amempa shavu Nicki Minaj. Katika verse ya Beyonce ametukumbushia kidogo ile skendo ya dada yake Solange na Jay Z kwenye lift. Verse ya Beyonce (snippet): These thots can’t clock me nowadays You wish I was your poundcake Boy you know I look good as f-ck Wish […]
9 years ago
Bongo521 Sep
Hemedy PHD atoa orodha ya nyimbo 18 zitakazokuwepo kwenye album yake ya ‘Virgo’
Baada ya kuahidi kuachia album yake ya kwanza ‘Virgo’ mwezi February 2016, Hemedy PHD ameshare na mashabiki wake orodha ya majina ya nyimbo zitakazokuwepo katika album hiyo. Mwimbaji huyo ambaye pia ni mwigizaji anatarajia kuachia single mbili mpya kwa mpigo ‘MEMORIES’ na ‘SOME DAY’ siku chacahe zijazo. Hii ndio orodha ya nyimbo za album ya […]
11 years ago
Bongo505 Aug
Lil Kim atoa version yake ya ‘Flawless Remix’ na kumdiss Nicki Minaj aliyeshirikishwa na Beyonce (Audio)
Weekend iliyopita Beyonce ameachia Remix ya wimbo wake ‘Flawless’ ambao kamshirikisha rapper Nicki Minaj. Lakini inavyoonekana Lil Kim ambaye sasa ni mama hakuridhika na baadhi ya mistari ya Minaj na kuamua kumjibu kwa kutoa ‘Flawless Remix yake’ Baadhi ya sehemu zilizotafsiriwa na Kim kama ni dongo kwake katika verse ya Nicki Minaj kwenye ‘Flawless Remix’, […]
9 years ago
Bongo530 Sep
Nicki Minaj kutayarisha na kuonekana kwenye tamthilia ya maisha yake
Nicki Minaj anatarajiwa kuwa mtayarishaji mkuu wa tamthilia mpya kupitia ABC Family itakayoangaza maisha ya rapper huyo alivyokulia kwenye viunga vya Queens, New York. Mradi huo kutoka Kapital Entertainment, utatengeneza episode ya kwanza mwaka huu. Tamthilia hiyo inaandikwa na Kate Angelo (Sex Tape), na itaangaza maisha ya Minaj aliyekulia Queens miaka ya 1990 pamoja na […]
10 years ago
Bongo520 Dec
Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard
Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita. Nicki amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania