New Music: Beyonce Ft. Nicki Minaj — ‘Flawless Remix’
Beyonce ameachia remix ya wimbo wake ‘Flawless Remix’ ambayo amempa shavu Nicki Minaj. Katika verse ya Beyonce ametukumbushia kidogo ile skendo ya dada yake Solange na Jay Z kwenye lift. Verse ya Beyonce (snippet): These thots can’t clock me nowadays You wish I was your poundcake Boy you know I look good as f-ck Wish […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo505 Aug
Lil Kim atoa version yake ya ‘Flawless Remix’ na kumdiss Nicki Minaj aliyeshirikishwa na Beyonce (Audio)
Weekend iliyopita Beyonce ameachia Remix ya wimbo wake ‘Flawless’ ambao kamshirikisha rapper Nicki Minaj. Lakini inavyoonekana Lil Kim ambaye sasa ni mama hakuridhika na baadhi ya mistari ya Minaj na kuamua kumjibu kwa kutoa ‘Flawless Remix yake’ Baadhi ya sehemu zilizotafsiriwa na Kim kama ni dongo kwake katika verse ya Nicki Minaj kwenye ‘Flawless Remix’, […]
10 years ago
Bongo502 Dec
Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce
Nicki Minaj ameweka wazi orodha ya nyimbo zitakazopatika kwenye album yake ijayo, ‘The Pinkprint’. Kwa mujibu wa orodha hiyo ambayo rapper huyo aliionesha kwenye Instagram jana, album hiyo inayosubiriwa kwa hamu ina nyimbo 19 zikiwemo alizowashirikisha Beyonce Knowles na Ariana Grande. Bey, aliyemshirikisha Minaj kwenye remix ya “Flawless”, atasikika kwenye wimbo wake ‘Feeling Myself’. Grande, […]
11 years ago
GPL16 Sep
10 years ago
Bongo501 Oct
Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj, Usher na mastaa wengine kutumbuiza kwenye show ya charity ya Tidal
Baada ya mtandao wa Tidal kufikisha zaidi ya watumiaji milioni moja, Jay Z aliahidi kusheherekea na sasa ametangaza shangwe hizo zitakuwa lini na wapi. Jay ametangaza show za charity za TIDAL X: 1020 ambapo kwa mara ya kwanza itafanyika Oct. 20 kwenye uwanja/ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn. Pamoja na Jay Z mwenyewe, mastaa wengine watakaotumbuiza […]
10 years ago
Bongo504 Dec
New Music: Nicki Minaj — All Things Go
Wimbo mpya wa rapper kutoka Young Money Nicki Minaj wimbu huu utakuwa unapatika pia katika album yake mpya “The Pink Print” ambayo inatoka mwezi huu wimbo unaitwa “All Things Go”
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
Ikiwa ni siku 4 zimesalia kabla album ya Nicki Minaj iitwayo ‘The Pinkprint’ itoke, nyimbo mbili kutoka kwenye album hiyo zimevuja. Moja ya nyimbo hizo ni collabo yake na Beyonce ‘Feeling Myself’, wimbo ambao wote wawili wamezungumzia mafanikio yao. Wimbo mwingine uliovuja kutoka kwenye album hiyo ni ‘Get On Your Knees’ aliomshirikisha Ariana Grande. The […]
10 years ago
Bongo516 Nov
New Music: Nicki Minaj f/ Skylar Grey — Bed of Lies
Wimbo mpya wa Nicki Minaj aliomshirikisha Skylar Grey ‘Bed of Lies’. Nicki aliutumbuiza wimbo huu kwenye tuzo za MTV EMA 2014 jijini Glasgow, Scotland.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania