Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bob Junior, Diamond kuja na wimbo wa pamoja

Bob JuniorNA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kushangaza wengi alipohudhuria katika sherehe ya Zari All White Party iliyoandaliwa na msanii Abdul Nasib ‘Diamond’ anayedaiwa kutoelewana naye, prodyuza Raheem Rummy ‘Bob Junior’, ameendelea kushangaza wengi kwa madai kwamba wapo mbioni kurekodi wimbo wa pamoja na msanii huyo.
Prodyuza huyo aliweka wazi mipango yake hiyo huku akidai tayari ameshanunua baadhi ya vifaa vipya kwa ajili ya kuimarisha studio yake iwe katika ubora wa kimataifa kama studio nyingine...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Bob Junior ataja jina la wimbo aliomshirikisha Diamond

Bob Junior Sharobaro

Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika.

Bob Junior Sharobaro

Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You.

Bob ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy.

“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” amesema.

Bob Junior pia amewataka mashabiki wake...

 

10 years ago

Bongo5

‘Unafanya kazi na mkata viuno’ — Mashabiki wamchana Roma kurekodi wimbo na Bob Junior

Inaonekana mashabiki wa Roma Mkatoliki hawajaafikiana na uamuzi wake wa kurekodi wimbo na Rais wa Masharobaro, Bob Junior. Roma ameiambia Bongo5 kuwa kwa miaka saba amekuwa akifanya muziki wake bila matatizo lakini kitendo cha kurekodi wimbo na Bob Junior kimegeuka kero kwa wengine. “Baada ya kusema nafanya kazi na Bob Junior kuna kitu ambacho kimetengenezeka […]

 

10 years ago

Bongo5

Bob Junior azungumzia kuchelewa kwa kolabo yake na Chameleone, pamoja na ujio wa ablam ya ‘Ukweli Wangu’

Mwanamuziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amezungumzia sababu ya kuchelewa kwa kolabo yake na nyota wa Uganda, Jose Chameleone pamoja na ujio wa ablam yake itwayo ‘Ukweli Wangu’. Bob Junior Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior alisema sababu kubwa iliyosabisha kuchelewa kutoka kwa wimbo huo, ni Chameleone kuwa busy sana na kushidwa kukaa […]

 

9 years ago

Bongo5

Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’

nikki wa piliRapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele. Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’ “Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani