Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Unafanya kazi na mkata viuno’ — Mashabiki wamchana Roma kurekodi wimbo na Bob Junior

Inaonekana mashabiki wa Roma Mkatoliki hawajaafikiana na uamuzi wake wa kurekodi wimbo na Rais wa Masharobaro, Bob Junior. Roma ameiambia Bongo5 kuwa kwa miaka saba amekuwa akifanya muziki wake bila matatizo lakini kitendo cha kurekodi wimbo na Bob Junior kimegeuka kero kwa wengine. “Baada ya kusema nafanya kazi na Bob Junior kuna kitu ambacho kimetengenezeka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Mtanzania

Bob Junior, Diamond kuja na wimbo wa pamoja

Bob JuniorNA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kushangaza wengi alipohudhuria katika sherehe ya Zari All White Party iliyoandaliwa na msanii Abdul Nasib ‘Diamond’ anayedaiwa kutoelewana naye, prodyuza Raheem Rummy ‘Bob Junior’, ameendelea kushangaza wengi kwa madai kwamba wapo mbioni kurekodi wimbo wa pamoja na msanii huyo.
Prodyuza huyo aliweka wazi mipango yake hiyo huku akidai tayari ameshanunua baadhi ya vifaa vipya kwa ajili ya kuimarisha studio yake iwe katika ubora wa kimataifa kama studio nyingine...

 

9 years ago

Bongo5

Bob Junior ataja jina la wimbo aliomshirikisha Diamond

Bob Junior Sharobaro

Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika.

Bob Junior Sharobaro

Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You.

Bob ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy.

“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” amesema.

Bob Junior pia amewataka mashabiki wake...

 

11 years ago

Bongo5

Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’

Hitmaker wa Mathematics Roma Mkatoliki ametmiza ahadi yake ya kwenda kufanya wimbo katika studio za Sharobaro Records chini ya producer Bob Junior aliyoweka wakati wa kombe la dunia kama Brazil ingefungwa na Ujerumani. Katika studio hiyo, Roma amerekodi wimbo uitwao ‘Maumivu’. Roma na producer Bob Junior wakiwa studio Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior amesema […]

 

9 years ago

Bongo5

Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma

Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa. Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika; “WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani