Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW SONG MAUMIVU -BOB JUNIOR AND ROMA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

‘Unafanya kazi na mkata viuno’ — Mashabiki wamchana Roma kurekodi wimbo na Bob Junior

Inaonekana mashabiki wa Roma Mkatoliki hawajaafikiana na uamuzi wake wa kurekodi wimbo na Rais wa Masharobaro, Bob Junior. Roma ameiambia Bongo5 kuwa kwa miaka saba amekuwa akifanya muziki wake bila matatizo lakini kitendo cha kurekodi wimbo na Bob Junior kimegeuka kero kwa wengine. “Baada ya kusema nafanya kazi na Bob Junior kuna kitu ambacho kimetengenezeka […]

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

9 years ago

Mtanzania

Bob Junior: Tutaonana baada ya Oktoba 25

zbobjunior1NA THERESIA GASPER,

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika
kampeni za wagombea urais.

“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema

Bob Junior mkali wa wimbo wa...

 

10 years ago

GPL

SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI

Na Imelda Mtema
MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa  mwanamuziki, Rummy Nanji ‘Bob Junior’ ambaye kwa hivi sasa ndiye mpenzi wake amembadilisha mavazi yake aliyokuwa akivaa awali kabla hawajawa pamoja. Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi. Akizungumza na Amani,...

 

9 years ago

Mtanzania

Bob Junior: Tutaonana baada ya uchaguzi

Bob JuniorNA THERESIA GASPER,

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika kampeni za wagombea urais.

“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema

Bob Junior mkali wa wimbo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani