Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Music: Smile Ft. Bob Junior — Naona Raha

Msanii Smile ameachia wimbo mpya unaitwa “Naona Raha” amemshirikisha Bob Junior wimbo umeataarishwa katika studio za Sharobaro Record. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Sho Daddy Feat. Bob Junior — Mapenzi ya Lawama

Sho Daddy ni msanii mpya amemshirikisha Bob Junior ngoma inaitwa “Mapenzi ya Lawama” imefanyika katika Studio za Sharobaro Rec

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AREJESHA NDOA YA BOB JUNIOR

Stori: Chande Abdallah
MTOTO wa msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ametajwa kuwa ndiyo sababu kubwa ya kurejesha ndoa iliyovunjika ya msanii huyo na aliyekuwa mkewe iliyovunjika miezi michache iliyopita. Msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kipindi chote wakati ameachana na mkewe alikuwa akimkumbuka sana mwanaye ambaye...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior kunogesha Miss Manyara

WAREMBO 14 kutoka vitongoji mbalimbali vya Mkoa wa Manyara, wameingia kambini jana kujiwinda na kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Manyara kitakachofanyika Ukumbi wa CCM wilayani Babati na kupambwa na mkali wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani