Bob Junior kunogesha Miss Manyara
WAREMBO 14 kutoka vitongoji mbalimbali vya Mkoa wa Manyara, wameingia kambini jana kujiwinda na kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Manyara kitakachofanyika Ukumbi wa CCM wilayani Babati na kupambwa na mkali wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Bob Junior kuipamba Redd’s Miss Manyara
Na Woinde Shizza, Manyara
Kinyanganyiro cha kugombea Redd’s Miss Manyara 2014, kinatarajia kufanyika Juni 14 mwaka huu katika ukumbi wa CCM Mkoa, mjini Babati, ambapo warembo kumi wanatarajia kuchuana.
Mkurugenzi wa Mirerani Entertainment, Akon Clement ambaye ni Mratibu wa mashindano hayo amesema mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mary Nagu.
Akon alisema msanii maarufu wa kizazi kipya, Bob Junior (pichani) kutoka...
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUSKr9rQCqVin3qqtUI-HSbNvSo3yEJGu8mcN15oe-QmOYxJeYXVZto86knOCnT1UMEBBLbRHkX2JcUxmVM-aVut/bob.jpg?width=650)
MTOTO AREJESHA NDOA YA BOB JUNIOR
10 years ago
CloudsFM15 Jan
BOB JUNIOR, CHAMELEONE KUFANYA KOLABO
Staa wa Bongo Fleva,Bob Junior anatarajia kufanya kolabo na msanii wa kimataifa wa nchini Uganda,Jose Chameleone.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FoGbMVzrjR4-L3zSlYTk6hQJNRITD44XM03wHW2Ijtyn2A0-37USIfAzDgnlCCzhXcbNDMnaFJe-GVWELp-ZTuu/sabby1.jpg)
SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Bob Junior: Tutaonana baada ya uchaguzi
NA THERESIA GASPER,
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika kampeni za wagombea urais.
“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema
Bob Junior mkali wa wimbo wa...