MTOTO AREJESHA NDOA YA BOB JUNIOR

Stori: Chande Abdallah MTOTO wa msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ametajwa kuwa ndiyo sababu kubwa ya kurejesha ndoa iliyovunjika ya msanii huyo na aliyekuwa mkewe iliyovunjika miezi michache iliyopita. Msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kipindi chote wakati ameachana na mkewe alikuwa akimkumbuka sana mwanaye ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
10 years ago
GPL
SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI
11 years ago
GPL27 Aug
11 years ago
GPL15 Aug
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Bob Junior kunogesha Miss Manyara
WAREMBO 14 kutoka vitongoji mbalimbali vya Mkoa wa Manyara, wameingia kambini jana kujiwinda na kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Manyara kitakachofanyika Ukumbi wa CCM wilayani Babati na kupambwa na mkali wa...
10 years ago
CloudsFM15 Jan
BOB JUNIOR, CHAMELEONE KUFANYA KOLABO
Staa wa Bongo Fleva,Bob Junior anatarajia kufanya kolabo na msanii wa kimataifa wa nchini Uganda,Jose Chameleone.
10 years ago
Mtanzania05 Oct
Bob Junior: Tutaonana baada ya uchaguzi
NA THERESIA GASPER,
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika kampeni za wagombea urais.
“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema
Bob Junior mkali wa wimbo wa...