Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’

Hitmaker wa Mathematics Roma Mkatoliki ametmiza ahadi yake ya kwenda kufanya wimbo katika studio za Sharobaro Records chini ya producer Bob Junior aliyoweka wakati wa kombe la dunia kama Brazil ingefungwa na Ujerumani. Katika studio hiyo, Roma amerekodi wimbo uitwao ‘Maumivu’. Roma na producer Bob Junior wakiwa studio Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior amesema […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Q Chief kuachia wimbo mpya baada ya uchaguzi, unaitwa ‘Chawa’

Q-Chief amejipanga vizuri kuumaliza vizuri mwaka wa 2015 ambao umeonekana kuwa mwaka mzuri kwa upande wake, akiwa amefanikiwa kuachia video mbili kali alizoshoot Afrika Kusini na muongozaji wa Tanzania, Adam Juma. Katika kuumaliza mwaka Q-Chief amesema amejipanga kuachia wimbo mpya mwezi Novemba mara tu baada ya uchaguzi, na ameutaja wimbo anaotarajia kuja nao unaitwa ‘Chawa’. […]

 

9 years ago

Bongo5

Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma

Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa. Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika; “WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini

roma-new-picRoma Mkatoli

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii  maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki  ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’,  tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.

Modewjiblog  iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp,  kwa kile kilichoelezwa na msanii...

 

9 years ago

Bongo5

BASATA waufungia rasmi wimbo wa Roma — ‘Viva Roma Viva’

Baraza la sanaa Tanzania, BASATA wameufungia rasmi wimbo wa Roma Mkatoliki uitwao ‘Viva Roma Viva’. Hatua hiyo imezikumba na nyimbo nyingine pia zenye ujumbe kama uliopo kwenye wimbo huo. BASATA wamesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo. Baada ya taarifa za kufungiwa kwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi

Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]

 

9 years ago

Bongo5

Roma agwaya kutoa wimbo aliokuwa auachie siku ya uchaguzi

roma new pic

Unakumbuka siku kadhaa kabla ya uchaguzi Roma aliahidi kuwa angeachia wimbo mpya siku ya uchaguzi?

roma new pic

Hata hivyo wimbo huo haukutoka na alikaa kimya kwa wiki kibao kiasi ambacho mashabiki wake wakaanza kuwa na hofu.

Awali rapa huyo aliahidi kuukabidhi wimbo huo kwa BASATA kabla ya kuuachia. Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa aliamua kuachana na kazi hiyo ili kulinda sanaa yake.

“Wimbo niliotoa na Baghdad sio ile kazi ambayo niliahidi kutoa siku ya uchaguzi, kuna...

 

9 years ago

Bongo5

Roma asema hajapewa barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake na BASATA

Rapper Roma Mkatoliki ameendelea kutawala vichwa vya habari kufuatia sakata la kufungiwa kwa wimbo wake wa Viva Roma Viva. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya E A Radio, Roma amesema kuwa yeye binafsi hajapokea barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake kutoka BASATA. “Sina jibu la moja kwa moja na napata kigugumizi kwa sababu sina taarifa rasmi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani