Roma asema hajapewa barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake na BASATA
Rapper Roma Mkatoliki ameendelea kutawala vichwa vya habari kufuatia sakata la kufungiwa kwa wimbo wake wa Viva Roma Viva. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya E A Radio, Roma amesema kuwa yeye binafsi hajapokea barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake kutoka BASATA. “Sina jibu la moja kwa moja na napata kigugumizi kwa sababu sina taarifa rasmi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Oct
Roma adai tangazo kuwa wimbo wake umefungiwa inamwathiri kiuchumi, aiandikia barua BASATA
10 years ago
Bongo528 Sep
BASATA waufungia rasmi wimbo wa Roma — ‘Viva Roma Viva’
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini
Roma Mkatoli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’, tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.
Modewjiblog iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp, kwa kile kilichoelezwa na msanii...
10 years ago
Bongo502 Oct
Hizi taarifa nazichukulia tu kama uvumi naamini BASATA hawawezi kunifungia wimbo — Roma
10 years ago
Bongo524 Oct
Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25
11 years ago
Bongo523 Jul
Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’
10 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma
10 years ago
Bongo Movies31 Jul
Shilole Afunguka Baada ya Kufungiwa na BASATA
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi:
“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya kucheza bila kuzingatia maadili uwapo...
9 years ago
Bongo503 Dec
Nahreel asema hakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwa utambulisho wake kwenye wimbo wa ‘Nana’

Kuna baadhi ya watu huenda hawafahamu kuwa mdundo wa ‘Nana’ wa Diamond Platnumz ni zao la producer Nahreel wa The Industry, na hii ni kutokana kwamba haina ule utambulisho wa kazi zake ‘Nahreel on the beat’ ambao husikika kwenye kazi zote alizotayarisha.
Nahreel amesema kuwa kiashirio cha producer kwenye wimbo huo kiliondolewa kwa sababu ambazo hakuona kama zina uzito.
“Sababu walizosema walisema tu stori ilivyoanza pale mbele ile slogan yangu ingeleta hitilafu lakini it doesn’t make sense,...