Roma adai tangazo kuwa wimbo wake umefungiwa inamwathiri kiuchumi, aiandikia barua BASATA
Roma amedai kuwa taarifa zilizotolewa kuwa wimbo wake Viva Roma umefungiwa, zimemuathiri kiuchumi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni, Roma alidai kuwa hiyo ndio sababu iliyomfanya atumie wanasheria kuiandikia barua BASATA ili imweleze sababu za kuufungia wimbo wake. Bado BASATA haijaijibu barua yake. “Ni kweli hizi taarifa zilikuwa zinaathiri career […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
Roma asema hajapewa barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake na BASATA
9 years ago
Bongo528 Sep
BASATA waufungia rasmi wimbo wa Roma — ‘Viva Roma Viva’
9 years ago
Bongo502 Oct
Hizi taarifa nazichukulia tu kama uvumi naamini BASATA hawawezi kunifungia wimbo — Roma
9 years ago
Bongo524 Oct
Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25
11 years ago
Bongo523 Jul
Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’
9 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini
Roma Mkatoli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’, tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.
Modewjiblog iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp, kwa kile kilichoelezwa na msanii...
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...