Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’
Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele. Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’ “Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Nov
Nick wa Pili aeleza kwanini wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ umekuwa gumzo mapema
![10475068_580578882090207_1870253540_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/10475068_580578882090207_1870253540_n-300x194.jpg)
Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amesema wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ umekuwa gumzo mapema kutokana na ujumbe wake na jinsi alivyobadilika kwenye aina ya uchanaji.
Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utakuwa ni miongoni mwa nyimbo zake zitakazoishi kwa muda mrefu zaidi.
“Kichwa cha jina la wimbo kimechangia wimbo kwenda haraka, utofauti wa kilichoimbwa, ujumbe ni wa kufurahisha sana, muundo wa chorus ni mpya, beat hata michano ni vipya ndio kitu ambacho kimewagusa watu,”...
9 years ago
Bongo506 Nov
Music: Nikki wa Pili — Baba Swalehe
![artist_4831555dceea45ac15e0ecab792b68f7ce66.jpg](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/artist_4831555dceea45ac15e0ecab792b68f7ce66.jpg-300x194.png)
Wimbo mpya wa Nikki wa Pili umetoka leo unaitwa “Baba Swalehe”. Producer Nahreel
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-XiAz445gMmM/Vj5EhZNPn2I/AAAAAAAAD3Q/BP_GWOO13Tg/s72-c/Nikki-wa-Pili_2.jpg)
NEW MUSIC: NIKKI WA PILI - BABA SWALEHE (Download)
![](http://4.bp.blogspot.com/-XiAz445gMmM/Vj5EhZNPn2I/AAAAAAAAD3Q/BP_GWOO13Tg/s640/Nikki-wa-Pili_2.jpg)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
Mtanzania11 May
Bob Junior, Diamond kuja na wimbo wa pamoja
NA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kushangaza wengi alipohudhuria katika sherehe ya Zari All White Party iliyoandaliwa na msanii Abdul Nasib ‘Diamond’ anayedaiwa kutoelewana naye, prodyuza Raheem Rummy ‘Bob Junior’, ameendelea kushangaza wengi kwa madai kwamba wapo mbioni kurekodi wimbo wa pamoja na msanii huyo.
Prodyuza huyo aliweka wazi mipango yake hiyo huku akidai tayari ameshanunua baadhi ya vifaa vipya kwa ajili ya kuimarisha studio yake iwe katika ubora wa kimataifa kama studio nyingine...
10 years ago
GPLTMK WANAUME HALISI KUJA NA TAMASHA LA MUZIKI IDD PILI
9 years ago
Bongo508 Dec
‘Don’t Bother’ ya Joh Makini imeiathiri ‘Baba Swalehe’ ya Nick wa Pili? Hili ndio jibu lao
![10475068_580578882090207_1870253540_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10475068_580578882090207_1870253540_n-300x194.jpg)
Mtaani watu wanasema wimbo wa Joh Makini ‘Don’t Bother’ huenda ukawa sababu ya kwanini ‘Baba Swalehe’ ya Nick wa Pili haikupata attention ilivyotarajiwa.
Wengine wanaamini kuwa wimbo huo alioshirikishwa pia rapper wa Afrika Kusini, AKA, huenda ukawa ni mchawi kwa wimbo huo wa Nick wa Pili.
Lakini watu wanasahau kuwa wawili hawa ni ndugu na chochote kinachotokea kati yao ni faida kwa brand yao ya Weusi. Maana yake ni kuwa ni mafanikio ya Joh Makini ni mafanikio ya Nick wa Pili na G-Nako...
10 years ago
Bongo510 Mar
Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili
10 years ago
GPLAZAM TV KUJA KIVINGINE