Hili ndio jina la wimbo wa Avril aliomshirikisha AY, mtazame akiuongelea (Video)
Muimbaji wa Kenya, Avril alikuja nchini kushoot video ya wimbo mpya aliomshirikisha AY na kumchukua Hanscana kuiongoza. Avril aliiambia Bongo5 kuwa wimbo huo unaitwa ‘No Stress.’ “Nilirekodi kitambo kiasi na AY,” anasema. “Kama unavyojua nilifanya kazi na AY five years ago, aliniweka kwenye Leo remix. So five years later nimemwambia wewe nawe njoo kwenye ngoma […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Dec
Bob Junior ataja jina la wimbo aliomshirikisha Diamond
![Bob Junior Sharobaro](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/Bob-Junior-Sharobaro-300x200.jpg)
Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika.
Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You.
Bob ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy.
“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” amesema.
Bob Junior pia amewataka mashabiki wake...
9 years ago
Bongo512 Nov
Avril kuzindua video ya No Stress aliomshirikisha AY Jumamosi hii Nairobi
![12093698_974532162609683_931018265_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12093698_974532162609683_931018265_n-300x194.jpg)
Muimbaji wa Kenya, Avril atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ Jumamosi hii jijini Nairobi.
Uzinduzi wa video hiyo utafanyika Skyluxx Lounge, Westlands jijini humo. Avril amemshirikisha AY kwenye wimbo huo na video imeongozwa na Hanscana.
Pamoja na Avril na AY, wasanii wengine watakaotumbuiza ni King Kaka na Femi One.
“Saturday night for me is about meeting my fans and my industry mates to have a good time.I would like guys to go back home having taken a piece of my...
9 years ago
Bongo525 Aug
Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina
9 years ago
Bongo521 Oct
Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’
9 years ago
Bongo530 Sep
Video: Ben Pol, Avril na Rossie M wakiongelea wimbo wao ‘Ningefanyaje’
9 years ago
Bongo516 Dec
Video: King Kaka Ft. Femi One & Avril – Ndio Kusema
![CWQi-DVVAAAQMZy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/CWQi-DVVAAAQMZy-300x194.jpg)
Video mpya ya rapper King Kaka kutoka Kenya amewashirikisha Femi One na Avril wimbo unaitwa “Ndio Kusema”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee hujiskiaje akimuona Jux ‘akimbusu’ msichana mwingine kwenye video? Hili ndio jibu lake!
![12230886_926044967480796_2021833105_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12230886_926044967480796_2021833105_n-300x194.jpg)
Ukiwa girlfriend wa mwanamuziki inabidi uliondoe neno ‘wivu’ kwenye kamusi yako kichwani!
Ni kwasababu bila hivyo utaishia kuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Jux ana bahati ya kuwa na girlfriend anayeelewa kuwa muziki ni kazi na wakati mwingine unatakiwa kufanya kile mtu wa kawaida hawezi kufanya.
Vanessa Mdee amepost picha ya Jux ya kile kinachoonekana kama video yake ijayo na wimbo ‘One More Night’ na kuandika sentesi inayomaanisha kuwa pale mpenzi wake anapoonesha kuwapenda wasichana...
9 years ago
Bongo525 Sep
New Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya aliomshirikisha Missy Elliott — Burn It Up
9 years ago
Bongo519 Sep
Iyanya aachia album yake ya nne ‘Applaudise’ yenye wimbo aliomshirikisha Diamond