WANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q1FuZ6uQ5Z1Uoq8z546pbcSOkJBJJH3ztW4kE8Y3fRNucZ74avpGk*rJ8PVm4hJcmboj0YmBeO*Vry0TmgjZN84/ndoa.jpg)
SHERIA inayoruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya. Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria hiyo licha ya malalamiko kutoka kwa vikundi vya wanawake nchini humo. Taarifa kutoka katika ofisi ya Rais ilisema kuwa mswada huo ambao unajumuisha vipengee kadhaa kuhusu ndoa , imekuwa sheria sasa. Mswada huo ulioleta mageuzi katika sheria ya sasa , ulipitishwa na bunge mwezi jana kuidhinisha rasmi utamaduni wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s72-c/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s640/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
Na Bashir YAkub
Sura ya 29 Sheria ya ndoa imeeleza mambo mengi . Baadhi yanajulikana na baadhi hayajulikani. Wakati mwingine hata baadhi ya yanayojulikana haijulikani kama yameruhusiwa na sheria au yanafanyika kimazoea. Na hapa ndipo inapoibukia migogoro mingi ambayo tunayoshuhudia mahakamani na hata nje ya mahakama. Aidha sheria hii imebeba mambo mengi ya talaka, matunzo ya watoto na mwanamke, jinai za unyanyasaji wa kijinsia, ndoa haramu ...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Wanaume zaidi ya mmoja hulipia ngono UK
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0NN-LABgVJs/VRnBF4iXhdI/AAAAAAAHOdw/n35tfWtQooc/s72-c/Divorce-in-Islam.jpg)
JE WAJUA MGAWANYO WA MALI NDOA YA MKE ZAIDI YA MMOJA INAPOVUNJIKA?.
![](http://4.bp.blogspot.com/-0NN-LABgVJs/VRnBF4iXhdI/AAAAAAAHOdw/n35tfWtQooc/s1600/Divorce-in-Islam.jpg)
Kipindi cha nyuma wakati nikieleza masuala ya sheria za ndoa niliwahi kueleza utaratibu wa mgawanyo wa mali iwapo ndoa inavunjika. Kimsingi nilieleza mgawanyo wa mali katika msingi wa uwepo wa ndoa ya mke mmoja. Sikuwahi kueleza mgawanyo wa mali iwapo ndoa ni ya mke zaidi ya mmoja. Wengi waliuliza swali hili ambapo baadhi niliwajibu na baadhi sikuwajibu. Leo sasa nitaeleza mgawanyo wa mali ...
11 years ago
CloudsFM09 Jul
MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI
Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.
Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...
11 years ago
Bongo505 Jul
Jina la mmoja wa watangazaji maarufu zaidi Kenya ‘Mbusi’ lilitokana na wimbo ‘Anita’ wa Matonya
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Ajiua kupinga kuoa mke asiyemtaka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvQTVBtd3q2baPgQe6wtQcG3o*arKxj9RI-okYhQYSTrIAzAtrVtwLMAnpyx43EH0pmV9kKb9EU8QeHDJSNtB6Fq/9713_01_0270.jpg?width=650)
JUSTIN BIEBER SASA ATAKA MKE WA KUOA
9 years ago
Bongo510 Nov
Sijapata mke mwema wa kuoa — Dully Sykes
![Dully Sykes - Kwani wewe ni nani](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Dully-Sykes-Kwani-wewe-ni-nani-300x194.jpg)
Dully Sykes amesema licha ya kutembea na wanawake wengi, mpaka sasa bado hajapata mke mwema wa kumuoa.
Muimbaji huyo mwenye watoto wanne, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa akipata mke mwema ataoa.
“Sijapata mke, unajua mke si girlfriend material na kuna wife material,” alisema. “Sijali Mungu hajaniletea mke na ukifa bila mke si dhambi kwa sababu hakukuletea alitaka ufe bila kuoa. Wife material akiona watu hawezi kushangaa shangaa. Mke anajua kesho unaingia kazini saa...