Wanaume zaidi ya mmoja hulipia ngono UK
Zaidi ya mwanaume mmoja kati ya 10 wanaelezwa kulipia vitendo vya ngono, utafiti kuhusu tabia za ngono nchini Uingereza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA
SHERIA inayoruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria hiyo licha ya malalamiko kutoka kwa vikundi vya wanawake nchini humo. Taarifa kutoka katika ofisi ya Rais ilisema kuwa mswada huo ambao unajumuisha vipengee kadhaa kuhusu ndoa , imekuwa sheria sasa. Mswada huo ulioleta mageuzi katika sheria ya sasa , ulipitishwa na bunge mwezi jana kuidhinisha rasmi utamaduni wa...
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Je wanaume watasusia ngono Kenya?
Wanaume nchini Kenya wameelezea hisia mseto kuhusu wito wa kiongozi wa shirika la maendeleo la wanaume nchini humo kwamba wasusie tendo la ndoa
10 years ago
Habarileo23 Aug
Wanaume waeleza kwa nini wananunua ngono
PAMOJA na kuelezwa kuwa wanaume wanaofuata makahaba wanafanya hivyo kwa uroho, utafiti uliofanywa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) unaonesha sababu tofauti za wanaume kuamua kununua ngono.
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Wanaume wapambe.Je wewe ni mmoja wao?
Kumekuwa na hii kasumba ya wanaume kujipamba kuhu sekta ya urembo ikiendelea kukuwa sio duniani kote tu bali mabadiliko mengi yanashuhudiwa Afrika
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
Wanaume wengi wamekutwa na ugonjwa huo zaidi na wanaonekana kupatwa na maafa mabaya.
9 years ago
Bongo521 Oct
Utafiti wa UK: Mwanamke mmoja kati ya watatu hutazama video za ngono walau mara moja kwa wiki
Sio wanaume pekee wanaopenda kuangalia video za ngono aka pilau – kwakuwa utafiti uliofanywa nchini Uingereza umebaini kuwa mwanamke mmoja kati ya wanawake watatu wamekiri kuangalia video hizo walau mara moja kwa wiki. Na wengi wamedai kuwa huziangalia kwa kutumia simu za mkononi. Mpiga picha wa Uingereza, Amanda de Cadenet aliungana na Marie Claire kufanya […]
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Tuna nafasi ya kutengeneza ajira zaidi ya wanaume
Hivi karibuni Taasisi ya Kimataifa ya Global Entrepreneurship Monitor (GEM), ilitoa ripoti yake kuhusiana na kuongezeka kwa idadi ya wanawake wajasiriamali duniani.
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Kigugumizi-Tatizo la kisaikolojia linalowaathiri zaidi wanaume
>Mwanafunzi amechaguliwa na mwalimu kujibu swali. Anafahamu vyema jibu la swali hilo, lakini anapoanza kufafanua, maneno yanampotea; anakwama; anashindwa kumaliza sentensi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania