Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je wanaume watasusia ngono Kenya?

Wanaume nchini Kenya wameelezea hisia mseto kuhusu wito wa kiongozi wa shirika la maendeleo la wanaume nchini humo kwamba wasusie tendo la ndoa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume zaidi ya mmoja hulipia ngono UK

Zaidi ya mwanaume mmoja kati ya 10 wanaelezwa kulipia vitendo vya ngono, utafiti kuhusu tabia za ngono nchini Uingereza.

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaume waeleza kwa nini wananunua ngono

PAMOJA na kuelezwa kuwa wanaume wanaofuata makahaba wanafanya hivyo kwa uroho, utafiti uliofanywa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) unaonesha sababu tofauti za wanaume kuamua kununua ngono.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Nipe Samaki nikupe Ngono,' Kenya

Wanawake katika ufuo wa Ziwa Victoria, wanauza miili yao kwa matumaini kuwa wataeleka nyumbani na Samaki wengi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nipe nikupe ya Samaki na Ngono Kenya

Wavuvi vijijini huwapa wauza samaki wanawake samaki kama malipo kwa kufanya nao ngono badala ya pesa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utalii wa Ngono wanawiri Malindi Kenya

Mji wa Malindi ni kama paradiso. Hata hivyo mji huu ni kitovu kilichojificha cha biashara ya ngono ya watoto .

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa wanaotuma ujumbe wa ngono Kenya

Kumtumia mtu ujumbe wenye picha za watu walio uchi au zenye ujumbe wa kingono nchini Kenya kutakuweka mashakani kiasi cha kufungwa jela

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaume “vicheko” Kenya



WANAUME nchini hapa wamepokea kwa furaha kusainiwa kwa sheria itakayokabiliana na vitendo vya unyanyasaji hususan majumbani. Sheria hiyo iliyosainiwa na wiki iliyopita na rais Uhuru Kenyata, inatarajiwa kuwapa ahuweni wanaume waliokuwa wakipigwa na wake zao na kushindwa kuripoti matukio hayo polisi.Matukio ya wanaume nchini Kenya kupigwa na wake zao yamezidi kuongezeka na kuhatarisha amani katika familia.Baadhi ya wanaume walisema wamekuwa wakipigwa na wake zao mara kwa mara na kuwafanya...

 

9 years ago

Vijimambo

KIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani