Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 May
Tuhuma za wanaume Rombo zamfadhaisha mbunge wao
MADAI ya wanawake wa wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, kukodi wanaume kutoka nchini Kenya, baada ya kukosa huduma za ndoa kutoka kwa waume zao kwa muda mrefu, kutokana na ulevi wa gongo uliopindukia, zimemfadhaisha Mbunge wao, Joseph Selasini (Chadema).
11 years ago
Bongo517 Jul
Martin Kadinda adai kukutana na changamoto ya wanaume wanaomtaka kimapenzi wakidhani ni shoga
10 years ago
Habarileo13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza suala la Haki za Wanaume liongezwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Mapendekezo hayo yametokana na majadiliano yaliyofanywa kwenye Kamati Namba Tisa ya Bunge hilo, wakati ikijadili ibara mbalimbali za Sura ya Pili na ya Tatu ya Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba.
10 years ago
Mtanzania22 May
Sakata la wanawake Rombo laibukia bungeni
Na Debora Sanja, Dodoma
SIKU chache baada ya kuripotiwa kwa taarifa za wanawake wa Wilaya ya Rombo kulazimika kukodi wanaume kutoka nchini Kenya baada ya waume wao kuzidiwa kwa ulevi, hatimaye sakata hilo limechukua sura mpya kwa kuibukia bungeni.
Akihoji hatua hiyo jana, Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alimtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awaombe radhi wananchi wa Wilaya ya Rombo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lembles Kipuyo.
Selasini alidai Kipuyo ndiye aliyesema kwamba...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya
![Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kidawa-Hamid-Salehe.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.
Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...
10 years ago
StarTV01 Apr
Katiba inayopendekezwa, Wanaume Serengeti Mara wataka kutambuliwa
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Wanaume katika Vijiji vya Sing’isi, Isenye na Harara wilayani Serengeti mkoani Mara wamehoji sababu za kutokutambuliwa kwao katika Katiba inayopendekezwa kama ilivyo kwa makundi mengine yakiwemo ya watoto, wanawake na walemavu.
Mjadala umejitokeza wakati ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imeteua taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Katiba pendekezwa kabla ya zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Aprili 30 mwaka...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...
11 years ago
Habarileo06 Mar
'Wanaume waungeni mkono wanawake'
KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanaume wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika shughuli zao kwani kwa kufanya hivyo ni chachu ya kukuza uchumi na kuongeza maendeleo ya familia na hata ya taifa kwa ujumla.
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria