Sakata la wanawake Rombo laibukia bungeni
Na Debora Sanja, Dodoma
SIKU chache baada ya kuripotiwa kwa taarifa za wanawake wa Wilaya ya Rombo kulazimika kukodi wanaume kutoka nchini Kenya baada ya waume wao kuzidiwa kwa ulevi, hatimaye sakata hilo limechukua sura mpya kwa kuibukia bungeni.
Akihoji hatua hiyo jana, Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alimtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awaombe radhi wananchi wa Wilaya ya Rombo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lembles Kipuyo.
Selasini alidai Kipuyo ndiye aliyesema kwamba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 May
Selasini ajipalia makaa sakata la wanawake Rombo
10 years ago
Mwananchi21 May
Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo
10 years ago
Vijimambo
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Wataka sakata la IPTL bungeni
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27
10 years ago
GPL
SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI
10 years ago
GPL
MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO
10 years ago
Bongo Movies29 May
Sakata la Zile Picha Chafu za Shilole Latinga Bungeni
Lile sakata la picha zisizo za maadili za Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,Shilole alizopigwa nchini Ubelgiji akiwa kwenye shoo yake zimejadiliwa bungeni mjini Dodoma.
Naibu waziri wa wizara ya Habari,Vijana na Utamaduni na Michezo,Juma Nkamia aliamua kuomba radhi jana kwa niaba ya serikali kufuatia kitendo cha msanii huyo kuvaa nguo zisizo za maadili jukwaani.
Hivi karibuni baadhi ya picha za msanii huyo zilizagaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa jukwaani amevaa mavazi ambayo...
11 years ago
Mwananchi16 May
Sakata la kutorosha wanyama hai kwenda Qatar laibuliwa bungeni