Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo
Moshi. Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amewajia juu Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lemrise Kipuyo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya hiyo, Anthony Tesha akiwataka wajiuzulu nyadhifa zao kwa kushindwa kusimamia sheria wilayani humo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania22 May
Sakata la wanawake Rombo laibukia bungeni
Na Debora Sanja, Dodoma
SIKU chache baada ya kuripotiwa kwa taarifa za wanawake wa Wilaya ya Rombo kulazimika kukodi wanaume kutoka nchini Kenya baada ya waume wao kuzidiwa kwa ulevi, hatimaye sakata hilo limechukua sura mpya kwa kuibukia bungeni.
Akihoji hatua hiyo jana, Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alimtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awaombe radhi wananchi wa Wilaya ya Rombo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lembles Kipuyo.
Selasini alidai Kipuyo ndiye aliyesema kwamba...
10 years ago
Mwananchi23 May
Selasini ajipalia makaa sakata la wanawake Rombo
9 years ago
Habarileo10 Nov
RC amjia juu mkandarasi ‘mzembe’
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amemjia juu mkandarasi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya Ruaha - Sali, wilayani Ulanga kwa kushindwa kukamilisha ujenzi licha ya kuongezewa muda.
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Mido amjia juu Waziri Misri
10 years ago
Habarileo05 Mar
Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.
10 years ago
Habarileo22 May
Tuhuma za wanaume Rombo zamfadhaisha mbunge wao
MADAI ya wanawake wa wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, kukodi wanaume kutoka nchini Kenya, baada ya kukosa huduma za ndoa kutoka kwa waume zao kwa muda mrefu, kutokana na ulevi wa gongo uliopindukia, zimemfadhaisha Mbunge wao, Joseph Selasini (Chadema).
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HPPQfWmTARw/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Simba waijia juu Yanga sakata la Okwi
NA SAADA AKIDA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameibuka na kudai hana muda wa kuumiza kichwa juu ya madai ya klabu yaYanga, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya timu hiyo, Zacharia Hanspope akiwapa onyo kuwa endapo watafungua kesi wahakikishe wana vielelezo sahihi.
Yanga ilitangaza kumfungulia kesi ya madai ya fidia Okwi, kwa kumtaka ailipe kiasi cha dola 2,100,000 kwa kuvunja mkataba na ada ya mazoezi, huku ikidai kulipeleka suala hilo Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ili...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
BAWACHA walijia juu sakata mauaji ya watoto
BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,Waziri wa Jinsia Wanawake na Wanawake, Sophia Simba na Mkuu wa...