Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Nov
RC amjia juu mkandarasi ‘mzembe’
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amemjia juu mkandarasi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya Ruaha - Sali, wilayani Ulanga kwa kushindwa kukamilisha ujenzi licha ya kuongezewa muda.
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Mido amjia juu Waziri Misri
10 years ago
Mwananchi21 May
Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-4-q8y4aM9BM/VPav3W1Cl_I/AAAAAAAApY8/XFgHFNZZBjw/s72-c/zitto_kabwe.jpg)
Ngeleja: Zitto Aliomba na Kupewa Milioni 30 Kutoka kwa Rugemarila
![](http://2.bp.blogspot.com/-4-q8y4aM9BM/VPav3W1Cl_I/AAAAAAAApY8/XFgHFNZZBjw/s640/zitto_kabwe.jpg)
Pia ,aliwasilisha kielelezo cha tuhuma zilizowasilishwa bungeni na Kambi ya Upinzani na mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde dhidi ya Zitto kuwa alipokea zaidi ya Sh milioni 30 kutoka...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Zitto: Ngeleja anatapatapa
Fredy Azzah na Patricia Kimelemeta
SIKU moja baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), kumtumia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe katika utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kiongozi huyo amesema mtuhumiwa huyo anatapatapa.
Kauli hiyo ya Zitto imekuja siku moja baada ya kutoa maelezo yake mbele ya baraza kama njia ya kujinasua kwenye kashfa ya kunufaika na mgawo wa Sh milioni 40 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta...
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-h0v1_kkXRFE/VPXWwUcbu2I/AAAAAAAAB1A/rJbVe2GSLV0/s72-c/5.jpg)
Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani
![](http://1.bp.blogspot.com/-h0v1_kkXRFE/VPXWwUcbu2I/AAAAAAAAB1A/rJbVe2GSLV0/s1600/5.jpg)
Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...
10 years ago
TheCitizen05 Mar
I am open for probe, Zitto declares after Ngeleja jibe
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Ngeleja awatumia Zitto, Mengi, Manji kujitetea