Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani
![](http://1.bp.blogspot.com/-h0v1_kkXRFE/VPXWwUcbu2I/AAAAAAAAB1A/rJbVe2GSLV0/s72-c/5.jpg)
NA MARIAM MZIWANDA.MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amemgeuzia kibao Zitto Kabwe kuwa ni mmoja kati ya watu walionufaika na fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Sugu amlipua Zitto
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameingizwa katika kashfa ya kuwatumia wasanii na kujipatia zaidi ya sh milioni 100. Tuhuma hizo nzito zilitolewa jana bungeni na Msemaji Mkuu wa...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Zitto amlipua Rugemalira wa Escrow
Na Bakari Kimwanga, Iringa
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kushangazwa na hatua ya Serikali kuwapatia kazi ya ujenzi wa Bandari ya Mwambani mkoani Tanga watuhumiwa wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.
Amesema watuhumiwa hao wamepewa kazi hiyo kupitia Mradi wa Mwambani Economic Corridor (MWAPORC), ambao utagharimu Sh trilioni 54, huku kukiwa hakuna taratibu za utangazaji wa zabuni zilizofuatwa na Serikali.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia mikutano...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Zitto: Ngeleja anatapatapa
Fredy Azzah na Patricia Kimelemeta
SIKU moja baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), kumtumia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe katika utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kiongozi huyo amesema mtuhumiwa huyo anatapatapa.
Kauli hiyo ya Zitto imekuja siku moja baada ya kutoa maelezo yake mbele ya baraza kama njia ya kujinasua kwenye kashfa ya kunufaika na mgawo wa Sh milioni 40 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta...
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...
10 years ago
Habarileo05 Mar
Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.
10 years ago
TheCitizen05 Mar
I am open for probe, Zitto declares after Ngeleja jibe
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Ngeleja awatumia Zitto, Mengi, Manji kujitetea
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Nakuhurumia Zitto Kabwe
Kwa wasomaji ambao hawakubahatika kuisoma makala hii, basi watambue kuwa iliandikwa na SAMSON MWIGAMBA Desemba 9, 2009. Wakati huo Mwigamba alikuwa na mtazamo huu kuhusu Zitto. Lakini ni Mwigamba huyo...
10 years ago
IPPmedia12 Mar
I'm still MP, declares Zitto Kabwe
IPPmedia
IPPmedia
Kigoma North MP Zitto Kabwe, who was as of yesterday stripped of party membership by Chadema's Central Committee (CCC) told reporters in Dar es Salaam yesterday that he is also still chairperson of the Public Accounts Committee (PAC). “As you can see ...
Bunge Speaker to determine Zitto's fateDaily News
Zitto Loses Court Battle, Axed From ChademaAllAfrica.com
all 9