Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sugu amlipua Zitto

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameingizwa katika kashfa ya kuwatumia wasanii na kujipatia zaidi ya sh milioni 100. Tuhuma hizo nzito zilitolewa jana bungeni na Msemaji Mkuu wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Zitto amlipua Rugemalira wa Escrow

Na Bakari Kimwanga, Iringa

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kushangazwa na hatua ya Serikali kuwapatia kazi ya ujenzi wa Bandari ya Mwambani mkoani Tanga watuhumiwa wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

Amesema watuhumiwa hao wamepewa kazi hiyo kupitia Mradi wa Mwambani Economic Corridor (MWAPORC), ambao utagharimu Sh trilioni 54, huku kukiwa hakuna taratibu za utangazaji wa zabuni zilizofuatwa na Serikali.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia mikutano...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani




NA MARIAM MZIWANDA.MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amemgeuzia kibao Zitto Kabwe kuwa ni mmoja kati ya watu walionufaika na fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

GPL

ZITTO AJIBU TUHUMA ZA SUGU KUHUSU UFISADI WA KAMPUNI YA LEKA DUTIGITE LTD KUPITIA KAZI ZA NSSF NA TANAPA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana aliwekwa kwenye kitimoto na Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni, Joseph Mbilinyi aliyemtuhumu kuhusika na kinachoitwa ufisadi katika Shirika la TANAPA na NSSF. Zitto ameamua kujibu tuhuma hizo kupitia Facebook.
Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA: Leo tarehe 29 Mei,...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe amlipua JK

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (CHADEMA), Freeman Mbowe, amemvaa Rais Jakaya Kikwete, akimtaka kuacha kutafuta huruma ya Watanzania juu ya suala la Katiba na badala yake atumie nafasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amlipua JK

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kuzungumzia rasimu ya siri ya Katiba inayodaiwa kuandaliwa na Chama Cha Mapinduzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amlipua Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemshambulia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kwamba anashabikia mfumo wa serikali mbili ili anufaike...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AMLIPUA WEMA

Musa mateja BAADA ya muigizaji nyota Wema Sepetu ‘kumtusi’ mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), juzikati aliibuka na kumjibu kuwa amefanya mambo ya ‘Kiswahili’. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz. Akizungumza ofisini kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, Diamond alisema katika maisha kila...

 

9 years ago

GPL

LUNGI AMLIPUA MASOGANGE

Gladness Mallya na Hamida Hassan MSANII wa siku nyingi kwenye anga la filamu Bongo, Lungi Maulanga amemlipua Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kwamba hajui kutumia umbo lake vizuri ndiyo maana amemtelekeza mwanaye.Akipiga stori na Ijumaa, Lungi alidai Masogange amemwacha mwanaye kwa shangazi yake huku malezi yake yakiwa duni wakati yeye akijiachia kimjini. Msanii wa siku nyingi kwenye anga la filamu Bongo, Lungi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani