ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8VHboO2Jrc8/VJse_aonvSI/AAAAAAAAEj8/lmjpjvA_QWc/s72-c/Faiza%2BAlly.jpg)
Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo524 Dec
Faiza amtupia lawama ex wake (Sugu), asema hamjali mwanae
9 years ago
Bongo529 Oct
Faiza akiri kuwa bado anampenda baba wa mtoto wake Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ay_N8iFO_cs/VYpB7K-SYqI/AAAAAAABQjs/z-sMB7LX0Xw/s72-c/Sugu%2Bna%2BSasha.jpg)
SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ay_N8iFO_cs/VYpB7K-SYqI/AAAAAAABQjs/z-sMB7LX0Xw/s640/Sugu%2Bna%2BSasha.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TLBch-xO68U/VYpB4vR4EdI/AAAAAAABQjk/mStD8WmafcU/s640/Faiza%2BAlly%2Bna%2BSasha.jpg)
Hiki ndicho amekiandika...
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Hofu ya Ebola kuwa sugu kutibu
10 years ago
Bongo Movies22 Jun
Sugu Amshtaki Faiza, Amtaka Mtoto Wake
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao. Sugu anataka kumchukua mtoto huyo na aishi naye (child custody).
Faiza ameiambia Bongo5 kuwa baada ya siku chache zilizopita kupandishwa kizimbani na kujibu shtaka hilo, alisema yeye hawezi kukubali kumuachia Sugu mtoto huyo kwa kuwa yupo chini ya umri.
“Kweli Sugu amenipeleka mahakamani kumtaka...
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Ni aibu Dar kuwa sugu kwa kipindupindu
10 years ago
Bongo523 Jun
Sugu amshtaki mama wa mtoto wake Faiza, anahisi anamharibu mwanae