Ni aibu Dar kuwa sugu kwa kipindupindu
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Paul Makonda aliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari akizungumzia kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya yake, baada ya kutokea vifo vitatu na idadi ya wagonjwa kuongezeka hadi 34.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:
Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.
Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.
Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-8VHboO2Jrc8/VJse_aonvSI/AAAAAAAAEj8/lmjpjvA_QWc/s72-c/Faiza%2BAlly.jpg)
ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8VHboO2Jrc8/VJse_aonvSI/AAAAAAAAEj8/lmjpjvA_QWc/s640/Faiza%2BAlly.jpg)
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”
![](http://4.bp.blogspot.com/-C13XujLAcN0/VJsfJQE-s5I/AAAAAAAAEkE/MCRdlC88XGs/s640/Faiza%2BAlly2.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Ni aibu Serikali kuitwa ‘mdaiwa sugu’
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Watu 34 hoi kwa kipindupindu Dar
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
UGONJWA wa kipindupindu umezidi kushika kasi mkoani Dar es Salaam, baada ya idadi ya wagonjwa kuongezeka kutoka 27 hadi 34.
Akizungumza na MTANZANIA mjini Dar es Salaama jana, Mratibu wa Huduma za Dharura, Mkoa wa Dar es Salaam, Victoria Bura alisema kumekuwapo na ongezeko la ugonjwa huo katika Wilaya ya Kinondoni.
Alitaja maeneo yaliyoathirika na ugonjwa huo kuwa ni Kijitonyama, Makumbusho, Saranga, Manzese, Tandale, Kimara na Mwananyamala.
Kwa mujibu wa Bura,...
10 years ago
GPLMAGOMENI-MAPIPA ENEO SUGU KWA FOLENI DAR
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Hofu ya Ebola kuwa sugu kutibu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXpn1FWyrCiJ9WygCkQ9IaIWEfIpojOqBvWP7bPYH*uHeTTQ73P2MH7sQsyuujFvXxN1VQyzsPxAOj5fwJpeYy2e/GIFT.jpg?width=650)
NI AIBU KUWA MPOKEAJI TU WA ZAWADI ZA MPENZI!
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Mwigulu: Ni aibu Tanzania kuwa maskini
NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ni aibu kwa nchi ya Tanzania kuwa maskini na tegemezi kwa zaidi ya miaka 50, tangu ilipopata uhuru licha ya...