Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI AIBU KUWA MPOKEAJI TU WA ZAWADI ZA MPENZI!

Awali ya yote niwapongeze wale ambao wanaendelea na mfungo. Ni jambo la heri kulifanya kwani faida yake inajulikana. Kwa sisi tulio kwenye mapenzi ya kawaida (ambao hatujaoana) ni kipindi cha kuwa makini sana kuhakikisha hatutibuliani. Kama uko kwenye uhusiano na mpenzi ambaye ni Muislamu, heshimu imani yake kwa kuhakikisha humuwekei mazingira ya kumharibia swaumu kama vile kulazimisha kukutana naye faragha, kumtumia sms za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BELINA AZAWADIWA ZAWADI YA RUBBY NA MPENZI WAKE

Na Imelda Mtema
SIKU chache baada ya kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la Naila, mwanamitindo maarufu Bongo, Belina Mgeni amezawadiwa hereni na cheni vyenye vito vya rubby na mpenzi wake. Mtoto wa kike  wa Belina aliyempa jina la Naila. Akichonga na Weekly Exclusive, Belina alisema kuwa furaha yake imeongezeka mara dufu baada ya kupata zawadi hiyo kutoka kwa baba mtoto wake huyo (jina kapuni) ambaye pia hakumsahau na...

 

9 years ago

Bongo5

Ladies: Zawadi za Christmas alizopewa Kim Kardashian na Kanye West zitakufanya umchukie mpenzi wako

Grand Opening of RYU Restaurant - Inside

Kanye West anadaiwa kumnunulia mke wake, Kim Kardashian West, zawadi 150 za Christmas, Ijumaa iliyopita.

Grand Opening of RYU Restaurant - Inside

Mzigo huo wa zawadi ulioneshwa kwenye website ya Kim Kardashian.

Miongoni mwa zawadi hizo ni pamoja na nguo zenye thamani kubwa. Kwa mujibu wa Kim, Kanye alimtuma msaidizi wake Italia kufanya shopping ya nguo hizo na alikuwa akimpa maelekezo kwa Skype.

Cha kufurahisha zaidi wakati Kim anafungua zawadi hizi, Kanye alikuwa akiicheza albamu yake mpya, SWISH.

Jiunge na Bongo5.com...

 

11 years ago

Habarileo

DC: Ni aibu Sumbawanga kuwa na watu waliodumaa

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka amesema ni aibu kwa wakazi wa mkoa wa Rukwa kuwa na watu waliodumaa ilhali mkoa wa Rukwa ambamo Sumbawanga imo ni miongoni mwa mikoa michache nchini inayoongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula, hususan mahindi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwigulu: Ni aibu Tanzania kuwa maskini

NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ni aibu kwa nchi ya Tanzania kuwa maskini na tegemezi kwa zaidi ya miaka 50, tangu ilipopata uhuru licha ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu Dar kuwa sugu kwa kipindupindu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Paul Makonda aliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari akizungumzia kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya yake, baada ya kutokea vifo vitatu na idadi ya wagonjwa kuongezeka hadi 34.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Owenya: ATCL kuwa na ndege moja aibu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Lucy Owenya (CHADEMA), amesema ni aibu kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuwa na ndege moja wakati ilikuwa na ndege saba na ina rasilimali ambazo...

 

10 years ago

GPL

IDRIS SINA MPANGO WA KUWA NA MPENZI

 Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akijiandaa kufanya mahojiano na wafanyakazi wa Global Publishers kupitia Global TV Online. MSHINDI wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Rashid Sultan ameweka wazi kuwa bado hajajipanga kuwa na mpenzi na suala hilo halipo kwenye mipango yake kabisa. Akizungumza na Global TV Online, Idris alisema sasa hivi akili yake ipo katika kubadilisha maisha ya...

 

9 years ago

GPL

UNAANZAJE KUWA NA URAFIKI NA MPENZI MKE WA MTU?

Niliwahi kuzungumzia kuhusu umuhimu wa kuwa na rafiki. Nikasema kwamba, mtu asiyekuwa na rafiki atakuwa ni mtu wa ajabu sana lakini nikatahadharisha kila mmoja kuwa makini katika kuchagua marafiki. Hata hivyo, tunapozungumzia masuala ya mahusiano, hakuna kitu cha hatari sana kama mimi au wewe kuwa na urafiki na mtu ambaye unajua yuko ndani ya ndoa au ana mpenzi wake. Ni hatari sana!
Lakini kabla ya kwenda mbali kulizungumzia...

 

11 years ago

Mwananchi

Lulu akiri mahakamani kuwa mpenzi wa Kanumba

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta, amekiri mahakamani kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mwigizaji mwenzake, Steven Kanumba na pia kuwa ugomvi na Kanumba siku ya tukio la kifo cha mwigizaji huyo, lakini akakana mashtaka ya kumuua bila kukusudia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani