Ladies: Zawadi za Christmas alizopewa Kim Kardashian na Kanye West zitakufanya umchukie mpenzi wako
Kanye West anadaiwa kumnunulia mke wake, Kim Kardashian West, zawadi 150 za Christmas, Ijumaa iliyopita.
Mzigo huo wa zawadi ulioneshwa kwenye website ya Kim Kardashian.
Miongoni mwa zawadi hizo ni pamoja na nguo zenye thamani kubwa. Kwa mujibu wa Kim, Kanye alimtuma msaidizi wake Italia kufanya shopping ya nguo hizo na alikuwa akimpa maelekezo kwa Skype.
Cha kufurahisha zaidi wakati Kim anafungua zawadi hizi, Kanye alikuwa akiicheza albamu yake mpya, SWISH.
Jiunge na Bongo5.com...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Dec
Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume
![kim na kanye](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kim-na-kanye-300x194.jpg)
Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).
Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.
He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015
Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Ndoa ya Kanye West, Kim Kardashian ilivyokuwa gumzo Duniani
MEI 24, Dunia ilishuhudia shamrashamra za harusi ya mastaa wakubwa wanaotikisa kwa kazi zao, mwanadada, Kim Kardashian na Kanye West, baada ya wawili hao kufunga ndoa wakiachana na ukapera. Kim...
9 years ago
Bongo527 Oct
Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kanye West ampa Kim bonge la zawadi
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.
Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.
Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...
9 years ago
Bongo508 Dec
Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume
![kanye and kim](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kanye-and-kim-300x194.jpg)
Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.
Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?
Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...
10 years ago
Bongo523 Dec
Picha: Kanye West na Kim Kardashian wawa visura wa kampeni ya Balmain
10 years ago
Bongo522 Oct
Kanye West amuandikia ujumbe mtamu wa birthday mkewe Kim Kardashian
10 years ago
Bongo519 Dec
Kanye West atumia shilingi milioni 125 kumnunuliaa mwanae zawadi za Christmas