Kanye West atumia shilingi milioni 125 kumnunuliaa mwanae zawadi za Christmas
Kanye West anadaiwa kutumia $74,000 (zaidi ya shilingi milioni 125) kumnunulia mwanae North zawadi Christmas. Chanzo kimoja kimeliambia jarida la Heat kuwa Kanye alitumia $62,000 kununua tiara (crown) iliyozungushiwa almas pamoja na mdoli wa gari inayofanana na SUV yake alioununua kwa $12,000. Chanzo kingine kimedai kuwa Kanye amepanga kumfanyia mke wake Kim surprise ya nguvu.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Dec
Ladies: Zawadi za Christmas alizopewa Kim Kardashian na Kanye West zitakufanya umchukie mpenzi wako
![Grand Opening of RYU Restaurant - Inside](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/4599861-6461267164-kim-k-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa kumnunulia mke wake, Kim Kardashian West, zawadi 150 za Christmas, Ijumaa iliyopita.
Mzigo huo wa zawadi ulioneshwa kwenye website ya Kim Kardashian.
Miongoni mwa zawadi hizo ni pamoja na nguo zenye thamani kubwa. Kwa mujibu wa Kim, Kanye alimtuma msaidizi wake Italia kufanya shopping ya nguo hizo na alikuwa akimpa maelekezo kwa Skype.
Cha kufurahisha zaidi wakati Kim anafungua zawadi hizi, Kanye alikuwa akiicheza albamu yake mpya, SWISH.
Jiunge na Bongo5.com...
9 years ago
Bongo509 Nov
Kanye West hutumia zaidi ya shilingi milioni moja kila siku kunyoa nywele
![screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am1-300x194.png)
Kanye West anadai kutumia $500 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni moja kunyoa nywele.
Kwa mwaka hiyo inaaminisha kuwa hutumia zaidi ya $180,000.
Taarifa hizo zilisemwa na baba yake Rihanna kwenye mahojiano na jarida la Heat, Ronald Fenty, aliyesafiri na Kanye na mwanae kwenye ziara yao mwaka 2010.
“It’s crazy – he pays his barber $500 a time,” alisema. “I don’t understand how that much hair gets taken off. Kanye just loves the fresh look.”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
10 years ago
Bongo510 Oct
Kanye West kumtengenezea mwanae North pete ya ndoa, sasa
10 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
11 years ago
Bongo508 Aug
Kanye West ana wasiwasi mwanae ataangukiwa na ‘drones’ zitakazotumiwa na mapaparazzi kupata picha zake!
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kanye West ampa Kim bonge la zawadi
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.
Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.
Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...
11 years ago
Bongo525 Jul
Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani
10 years ago
Bongo503 Oct
Msanii wa Kenya atumia tshs milioni 12 kukodi helikopta kuhudhuria hafla za mwanae na mdogo wake, Nairobi na Eldoret kwa siku 1
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Kanye West akumbuka dola milioni 20
CALIFORNIA, Marekani
NYOTA wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, amekumbuka namna alivyotumia dola milioni 20 kwa ajili ya kurekebisha nyumba yao iliyopo California, nchini Marekani.
Eneo la nyumba yao lina ukubwa wa eka 3.5, ambapo Agosti mwaka jana nyumba hiyo ilionekana kuwa na matatizo madogo madogo.
Kanye amesema marekebisho hayo yameifanya nyumba hiyo kuwa na mwonekano mpya wa nyumba za kisasa, ambapo wanaamini mtoto wao, Nori atakuwa sehemu salama zaidi.
“Tumeona bora tubadilishe...