Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii wa Kenya atumia tshs milioni 12 kukodi helikopta kuhudhuria hafla za mwanae na mdogo wake, Nairobi na Eldoret kwa siku 1

Muimbaji wa Kenya, Esther Akoth maarufu kama Akothee ambaye hivi karibuni alikuwa nchini Tanzania, ametumia shilingi 700,000 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 12 za Tanzania kuhudhuria hafla mbili ikiwemo ya mwanae wa kike zilizofanyika siku moja. Esther Akoth aka Akothee akiwa kwenye helikopta aliyokodi Akothee ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Akothee […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kanye West atumia shilingi milioni 125 kumnunuliaa mwanae zawadi za Christmas

Kanye West anadaiwa kutumia $74,000 (zaidi ya shilingi milioni 125) kumnunulia mwanae North zawadi Christmas. Chanzo kimoja kimeliambia jarida la Heat kuwa Kanye alitumia $62,000 kununua tiara (crown) iliyozungushiwa almas pamoja na mdoli wa gari inayofanana na SUV yake alioununua kwa $12,000. Chanzo kingine kimedai kuwa Kanye amepanga kumfanyia mke wake Kim surprise ya nguvu.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AWASILI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA KUHUSU KANSA YA MATITI,SHINGO YA KIZAZI NA TEZI DUME

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Esther Wanjiru anayelelewa katika Kituo cha watoto cha Mama Ngina huko Nairobi muda mfupi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tarehe 19.7.2015.  Mama Salma yupo nchini Kenya kuhudhuria Mkutano wa 9 wa wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia masuala ya kansa Barani Afrika.  Balozi wa Tanzania nchini Kenya Ndugu John Haule akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati...

 

9 years ago

Mtanzania

Wiz Khalifa atumia milioni 20 kwa bangi

Wizkharifa na mama yakeNEW YORK, Marekani

MAMA wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, Katie Wimbush, amesema amechoshwa na tabia uvutaji wa bangi kila wakati unaofanywa na mwanawe.

Mama huyo alisema walikuwa wanavuta bangi na mwanaye tangu alipokuwa na umri mdogo hata kabla ya kuanza shule, lakini kwa sasa amezidisha matumizi ya dawa hizo kiasi cha kumkera mama huyo.

“Ilikuwa ni hali ya kawaida kabla sijaanza safari ya kwenda kazini na yeye kabla ya kuanza shule, tulikuwa tunavuta wote, lakini kwa sasa...

 

9 years ago

Bongo5

Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza

Adele, Mwimbaji kutoka Uingereza amerudi kwa kishindo baada ya kuweka rekodi mpya ya Youtube kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’ uliotoka Ijumaa Oct.23. Ndani ya saa 24 toka video ya wimbo huo iwekwe kwenye mtandao wa Youtube imetazamwa mara milioni 25, na kuvunja rekodi iliyowekwa na Taylor Swift na Kendrick Lamar ambao collabo yao ‘Bad Blood’ […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Nassari atumia Helikopta kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura jimboni kwake

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR. Mbunge Nassari akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara. Mbunge Joshua Nassari akiteremka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. Baadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassari mara...

 

11 years ago

GPL

MAITI YAGOMA KUSAFIRISHWA ELDORET NCHINI KENYA

Jiji la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya leo lilishuhudia tukio la kushangaza baada ya maiti iliyokuwa inasafirishwa kwa maziko kukataa safari hiyo. Kizaazaa kilizuka pale gari lililokuwa limelibeba jeneza lenye mwili wa marehemu kupata hitilafu na licha ya kubadilishwa gari jingine, nalo pia lilikataa kuwaka. Hapo ndipo marafiki na jamaa ya marehemu walipochukua fursa ya kuirai maiti hiyo ili ipate kufikishwa eneo la...

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania

Msanii wa muziki wa Kenya, Esther Akoth aka Akothee anafahamika kwa miradi yake ya kusaidia jamii. Akothee (katikati) akiwa na walimu wa shule ya sekondari ya St. Alberts Ulanda Girls iliyopo Migori, Kenya Hivi karibuni, Akothee amejitolea kudhamini mradi wa maji kwenye shule ya wasichana iliyopo kwenye kaunti ya Migori nchini Kenya. Shule hiyo iitwayo […]

 

10 years ago

BBC

Kenya ICC witness killing haunts Eldoret family

Was Kenyan killed over ICC testimony?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani