Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanye West kumtengenezea mwanae North pete ya ndoa, sasa

Katika kuonesha ni kiasi gani anampenda mwanae, North, Kanye West amepanga kumtengenezea pete ya thamani ya kumvisha kwenye kidole cha ndoa, chanda. Kwa mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, Kanye anataka kuwa mtu wa kwanza kumvisha pete hiyo kidoleni kwake. Kanye atamvisha mwanae pete hiyo ya almasi wakati huu akiwa na mwaka mmoja tu. “Yupo kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North

Baada ya kudaiwa kuwa Kanye West amechukizwa na jinsi mume wa dada yake na Kim, Kourtney Kardashian, Scott Disick anavyoishi na mke wake, kuna tetesi kuwa sasa amempiga marafuku kuwa karibu na mwanae, North. Kanye West akiwa na Scott Disick Kanye West anadai hapendi tabia ya Scott Disick ya kula bata na kukesha baa wakati […]

 

11 years ago

Bongo5

Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani

Kanye West amefunga idadi kubwa ya camera kwenye nyumba yake ili kumchunga na kumuona binti yake, North popote pale duniani. Rapper huyo mwenye miaka 37 amedaiwa kumkera mke wake Kim Kardashian kwa kufunga camera hizo kwenye kila chumba ndani ya nyumba yao ya Los Angeles hadi kwenye bafu ili kuhakikisha anamuona North muda wote. Chanzo […]

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West atumia shilingi milioni 125 kumnunuliaa mwanae zawadi za Christmas

Kanye West anadaiwa kutumia $74,000 (zaidi ya shilingi milioni 125) kumnunulia mwanae North zawadi Christmas. Chanzo kimoja kimeliambia jarida la Heat kuwa Kanye alitumia $62,000 kununua tiara (crown) iliyozungushiwa almas pamoja na mdoli wa gari inayofanana na SUV yake alioununua kwa $12,000. Chanzo kingine kimedai kuwa Kanye amepanga kumfanyia mke wake Kim surprise ya nguvu.

 

11 years ago

Bongo5

Kanye West ana wasiwasi mwanae ataangukiwa na ‘drones’ zitakazotumiwa na mapaparazzi kupata picha zake!

Kwa mujibu wa Kanye West, Mapaparazzi ni hatari zaidi kuliko hata Nazi! Uoga wake huo wa mapaparazzi umemfanya staa huyo atafute nyumba yenye thamani ya dola milioni 20 ili kuwakwepa wasipate picha za mwanae North. North West Hivi karibuni Kanye alikuwa akihojiwa (deposition) na mawakili wa paparazzi aliyemdunda na kujikuta akitoa kauli iliyowaacha mdomo wazi. […]

 

10 years ago

GPL

VIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI

North West akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo. VIDEO iliyowekwa katika mtandao wa Instagram na Khloe Kardashian ya mtoto wa dada yake, Kim Kardashian aitwaye North West imevutia watu wengi. Angalia video hiyo hapo juu. Video hiyo inamuonyesha North mwenye mwaka mmoja na miezi tisa akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo kuelekea uwanja wa ndege.… ...

 

11 years ago

Bongo5

Kanye na Kim watumia tshs mil 835 kupata mtoto anayefanana na North West ili kujihami na mapaparazi

Kanye and Kim West hawako tayari kuona maisha ya mtoto wao, North yanaingia hatarani. Kuhakikisha kuwa mtoto wao hawehuki kwasababu ya usumbufu wa mapaparazi, Kanye na Kim wametumia $500,000 (zaidi ya shilingi milioni 835) kupata mtoto anayefanana na wa kwao. North West Kwa mujibu wa gazeti la The Mirror, mastaa hao wametumia kiasi hicho kikubwa […]

 

11 years ago

GPL

MUONEKANO WA KIM, KANYE WEST SIKU YA NDOA YAO

Kim Kardashian na Kanye West wapigana busu baada ya kufunga ndoa Jumamosi iliyopita, Forte di Belvedere Florence, Italia. ...Mke na mume ambao ni Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndoa ya Kanye West, Kim Kardashian ilivyokuwa gumzo Duniani

MEI 24, Dunia ilishuhudia shamrashamra za harusi ya mastaa wakubwa wanaotikisa kwa kazi zao, mwanadada, Kim Kardashian na Kanye West, baada ya wawili hao kufunga ndoa wakiachana na ukapera. Kim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani