Kanye na Kim watumia tshs mil 835 kupata mtoto anayefanana na North West ili kujihami na mapaparazi
Kanye and Kim West hawako tayari kuona maisha ya mtoto wao, North yanaingia hatarani. Kuhakikisha kuwa mtoto wao hawehuki kwasababu ya usumbufu wa mapaparazi, Kanye na Kim wametumia $500,000 (zaidi ya shilingi milioni 835) kupata mtoto anayefanana na wa kwao. North West Kwa mujibu wa gazeti la The Mirror, mastaa hao wametumia kiasi hicho kikubwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
10 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
9 years ago
Bongo506 Dec
Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume
![kim na kanye](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kim-na-kanye-300x194.jpg)
Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).
Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.
He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015
Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Kim, Kanye West wapata mtoto kabla ya Krismasi
LAGOS, NIGERIA
LICHA ya kujitabiria kwamba wangepata mtoto wa pili kipindi cha sikukuu ya Krismasi, mkali wa hip hop, Kanye West na mke wake, Kim Kardashian, wamefanikiwa kupata mtoto wa pili wa kiume juzi.
Kupitia mtandao wa Twitter, Kim aliandika kwamba, “Tulikuwa tunakusubiri kwa muda mrefu, hatimaye muda umefika, karibu sana mwanangu,” aliandika Kim akimkaribisha mdogo wa North West.
Kim pia aliandika katika ‘Website’ yake kwamba, ‘‘Kim Kardashian West na Kanye West wamefanikiwa kupata...
11 years ago
Bongo525 Jul
Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani
9 years ago
Bongo508 Dec
Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume
![kanye and kim](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kanye-and-kim-300x194.jpg)
Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.
Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?
Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...