Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC: Ni aibu Sumbawanga kuwa na watu waliodumaa

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka amesema ni aibu kwa wakazi wa mkoa wa Rukwa kuwa na watu waliodumaa ilhali mkoa wa Rukwa ambamo Sumbawanga imo ni miongoni mwa mikoa michache nchini inayoongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula, hususan mahindi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NI AIBU KUWA MPOKEAJI TU WA ZAWADI ZA MPENZI!

Awali ya yote niwapongeze wale ambao wanaendelea na mfungo. Ni jambo la heri kulifanya kwani faida yake inajulikana. Kwa sisi tulio kwenye mapenzi ya kawaida (ambao hatujaoana) ni kipindi cha kuwa makini sana kuhakikisha hatutibuliani. Kama uko kwenye uhusiano na mpenzi ambaye ni Muislamu, heshimu imani yake kwa kuhakikisha humuwekei mazingira ya kumharibia swaumu kama vile kulazimisha kukutana naye faragha, kumtumia sms za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwigulu: Ni aibu Tanzania kuwa maskini

NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ni aibu kwa nchi ya Tanzania kuwa maskini na tegemezi kwa zaidi ya miaka 50, tangu ilipopata uhuru licha ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu Dar kuwa sugu kwa kipindupindu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Paul Makonda aliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari akizungumzia kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya yake, baada ya kutokea vifo vitatu na idadi ya wagonjwa kuongezeka hadi 34.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Owenya: ATCL kuwa na ndege moja aibu

MBUNGE wa Viti Maalumu, Lucy Owenya (CHADEMA), amesema ni aibu kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuwa na ndege moja wakati ilikuwa na ndege saba na ina rasilimali ambazo...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni kweli kuwa wanasiasa wetu ni watu wa watu?

Moja ya sifa za nje ya ofisi ambazo Rais Jakaya Kikwete anamwagiwa na Watanzania ni ile ya ushiriki wake katika masuala ya kijamii.

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi

JS76579997Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa.

Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari 

[PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi baada ya kuvamia jiji la Paris, Ufaransa nje ya uwanja wa uliokuwa ukichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani (Stade de France).

Ripoti zinasema wakati mchezo huo ukiendelea ilisikika milio ya mabomu matatu (3)  yakilia nje ya...

 

9 years ago

Bongo5

Mimi ni mtu mwenye aibu sana kiasi ambacho watu huhisi najisikia – B12

11191079_151146088570015_1052326676_n

Mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Hamis Mandi aka B12 amesema watu wengi humfirikia tofauti na alivyo.

11875267_897046123708898_1580579379_n

B-Dozen amesema watu wengi huhisi ni mtu mwenye kujisikia na asiyependa kujichanganya na watu.

“Watu hunifikiria tofuti na nilivyo,” Dozen ameliambia gazeti la Mwananchi. “Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Mara nyingi kama mtu simjui vizuri inanipa wakati mgumu kutoa ushirikiano kutokana na kuwa huwa najishtukia,” aliongeza.

“Sio kama najitenga ni udhaifu wangu unasababisha...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani